COMPTON BLVD
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 682
- 615
Duh!Mpeleke KOLOMIJE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Mpeleke KOLOMIJE
Wanajopu tupeane uzoefu kidogo hapa je ni sehemu ipi nzuri kwa kumtoa out mwanamke mnapokuwa katika uhusiano wa mwanzo ili afurahi na aone umemtendea vyema.
Nikifikiria kwenda naye club nahisi atakuona kama mtu wa viwanja sana na ikampa wasiwasi juu yako kama yeye si mtu wa kwenda katika kumbi za miziki.
Nikisema uende naya bar nzuri labda mkakae tu hapo anaweza kukuona mlevi au mtu wa kushinda kwenye bar na kama si mpenzi wa kukaa bar unawwza kumwacha na maswali mengi sana.
Sasa tupeane uzoefu na maarifa kidogo wanawake watatusaidia zaid wapi mnapenda kutolewa out siku za mwanzo za uhusiano kabla hamjazoeana ili tusiwakwaze.
Pole ndio matumizi ya hela..hakikisha na wewe unajilipa...peleka moto hadi value ya pesa yako irudi..ingawa huwezi komoa k ila moyo ukiridhika inatosha.Wakuu jana nimempeleka demu wangu pale Mikocheni Plaza tukala zile kuku na vichipsi vya KFC. Mtoto amefurahi sana.
Sema hela imenitoka qmamake.