Ni sehemu gani nzuri kwa kumtoa out mwanamke unapokutana naye siku za mwanzo?

Ni sehemu gani nzuri kwa kumtoa out mwanamke unapokutana naye siku za mwanzo?

Mm huwa nawanyaka sana kupitia chakula cha jioni ktk hoteli nzur...everything starting there..
 
Sehemu ya kuvutia ambayo mtakaa kwa utulivu kuongea yenu huku mkifurahia mandhari ya mahali hapo.

 
Mpeleka babana Java pale unasikia kelele za mziki huku unapiga kitimoto cha kwa chota.. Maisha yanahitaji nn zaid
 
Kama upo maeneo ya bahari au ziwe nenda nae ufukweni na maeneo mengine kama hayo.
Yaan siku hiyo ni vyema zaidi kuitumia Kwa maongezi zaidi ili muweze kufahamiana.
Ahsante!!!
 
kwa Bashite akajionee kiumbe cha ajabu kupata kutokea tanzania
 
Coco beach mkale mihogo. . Mihogo ya siku hizi mitamu kweli [emoji4]
 
Mm huwa napenda kumpeleka maeneo yenye kijan au ni msitu tulivu ili tupate kubadilishana mawazo na kuzoeana vyema
 
We kama huna pesa,achana kabisa na warembo wa mjini.ila huku bush kwetu kitaramanka huwa tunakutania kwenye mashamba ya mihogo.
 
Mmmmmhhhh out za kijijini teh teh teh..........................!!!!!???????[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom