Tafuta Mkahawa mzuri mjini sehemu tulivu kama KFC kariakoo au Mikocheni, Restaurant zilizoko maeneo mazuri kama Posta, Malls (Mlimani city, Quality Centre, City mall, Mkuki House, Habour View Towers etc) Capetown fish market, Steers,City Garden pale Gerezani etc
Sehemu ambayo haina makelele mnapata chakula na soft drinks kwa utulive na maongezi yenye bashasha na tabasamu mwanana mkiangaliana machoni kwa kuibia.
NB:Sehemu utakayoichagua ni lazima ufike kabla(siku moja kabla ya tukio au masaa kadhaa kabla ya kumuita) kufanya survey ujue mazingira yote ikiwa ni pamoja na kuomba Menu na kujua bei za vyakula na vinywaji, ujue wash room ziko wapi. Angali mfuko wako kama unaruhusu kisha mpeleke hapo. Akija mhudumj ww utakua ushakua mwenyeji sana akileta menu unamuambia bibie achague chochote anachotaka(hapa unakua na confidence kwa sababu maximum price ya chakula unaijua) then wewe agiza bila kuangalia menu kwa sababu ushajua cha kuagiza before. Akitaka kwenda haja unamuelekeza washroom zilipo. Kwanza atakuona mjanja na hiyo sehemu sio mara yako ya kwanza kufika.
Fanya hii utaleta Mrejesho.