Namba 4 ndo kila kitu1.Kama kuna tv weka nyuma ya tv,
2.Weka kwenye Buti zako ukishazivua,
3.Kama una gari,iache pochi kwenye gari,
4.Siku ukijua unaenda "Gesti" chukua hela za matumizi hayo tu,usiibebe pochi.
Nimejaribu kuchangia tu japo mm sio mtu wa mambo ya kubanjuka hovyo.🤣🤣
Ha,ha,haaaa we kweli mzoefu!!Izungushie nailoni nenda chooni funua lile dude linalohifadhi maji ya kuflashia tumbukiza humo. Hilo ni eneo salama hata kutunzia bastola kisu na.silaha nyingine kwa anili ya dharula.
Naomba nipite hivi
Joanah habari yako mkuu!Hii kali 😂😂
Shukrani huna na matusi juu!? "Sawa" ila wengine tumepata wazo baada ya kuona swali tukijua kijana wetu unateseka!!Najuta hata Kuanzisha Uzi huu ( Mada hii ) kwani najua nitazitesa sana Mbavu zangu kwa Kucheka kwa Majibu ya Watu ( Members ) ambao naanza Kuhisi ni Wadau ( Wabobezi ) wakubwa wa 'Kubai' Madanga ( Malaya ) Mjini hapa.
Hahahahahah uchumi gani[emoji1787]Watu tunawaza kujenga uchumi ambao Bi Mkubwa kauharibu, nyie mikuchuru ya mbungani mnawaza tuuuu kupoteza energy kwenye ushirikizinaa. Sijui hapo tunaenda ama tunarudi kama taifa!???
Kawaida bila pressure hesabu pesa kisha funga muite mhudumu mpe ufunguo na mgeni wako anasikia na anaona. Over_funguo inapitishwa chini ya mlango au dirisha la chooni_Mchongo kama huu unaweza kuucheza na mhudumu mapema na unamtoa chake mapemaANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Na tusio kua na gari tufanyeUnaacha kwenye gar tu.shida zote za nini
Sihangaiki na chochote zaidi;
1. Big deal ni kusogeza kitanda kwenye mlango yaani mlango haufunguki hadi usogeze kitanda tena.
Au
2. Funguo naitumbukiza kwenye pochi au nguo zake akiwa haoni.
ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Mwanangu umetiiiiisha mbaya !Usihangaike na vitu vyako.
Cheza na ufunguo tu.
Hakikisha kuwa hajuani na watu wa guest husika. Mkiingia tu, funga mlango. Funguo usichomoe.
Taa pia usizime. Kula mzigo, wana tabia ya kujidai kuwahi kulala ili nawe ulale.
Jifanye unaenda kuzima taa kule ukutani hata kama ipo karibu na kitanda.
Ukizima taa, chomoa na ufunguo.
Kuwa makini, hajalala bali anakuchora tu.
Jifanye kushika shika mto ili ajue unauchomeka kwenye mto. Alafu nenda chooni au bafuni. Weka tu pembeni ya kidirisha cha chooni.
Nenda kalale! Atakuamsha usiku mwenyewe kuwa anataka kuondoka!.
Au chomeka ufunguo kwenye kipakiti cha kondom, tupia uvunguni.
UZINZI HAULIPI. ACHANA NA MAGUMEGUME.
We ukishaingia chukua funguo funga kisha funguo weka kwenye nguobyake kisha lala vzr tu, asubuhi hauoni chako mnamaliza kwanza humohumo ndani kabla haujafungua mlangoANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.