Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

1.Kama kuna tv weka nyuma ya tv,

2.Weka kwenye Buti zako ukishazivua,

3.Kama una gari,iache pochi kwenye gari,

4.Siku ukijua unaenda "Gesti" chukua hela za matumizi hayo tu,usiibebe pochi.

Nimejaribu kuchangia tu japo mm sio mtu wa mambo ya kubanjuka hovyo.🤣🤣
Namba 4 ndo kila kitu
 
Izungushie nailoni nenda chooni funua lile dude linalohifadhi maji ya kuflashia tumbukiza humo. Hilo ni eneo salama hata kutunzia bastola kisu na.silaha nyingine kwa anili ya dharula.
Naomba nipite hivi
Ha,ha,haaaa we kweli mzoefu!!
 
Najuta hata Kuanzisha Uzi huu ( Mada hii ) kwani najua nitazitesa sana Mbavu zangu kwa Kucheka kwa Majibu ya Watu ( Members ) ambao naanza Kuhisi ni Wadau ( Wabobezi ) wakubwa wa 'Kubai' Madanga ( Malaya ) Mjini hapa.
Shukrani huna na matusi juu!? "Sawa" ila wengine tumepata wazo baada ya kuona swali tukijua kijana wetu unateseka!!
 
Watu tunawaza kujenga uchumi ambao Bi Mkubwa kauharibu, nyie mikuchuru ya mbungani mnawaza tuuuu kupoteza energy kwenye ushirikizinaa. Sijui hapo tunaenda ama tunarudi kama taifa!???
Hahahahahah uchumi gani[emoji1787]
 
Ingia pesa kamili usizidishe Wala usipunguze [emoji1] ukimpa chake wallet ibaki empty[emoji1787]
 
ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Kawaida bila pressure hesabu pesa kisha funga muite mhudumu mpe ufunguo na mgeni wako anasikia na anaona. Over_funguo inapitishwa chini ya mlango au dirisha la chooni_Mchongo kama huu unaweza kuucheza na mhudumu mapema na unamtoa chake mapema
 
Genta umefanya kosa gani wamekupiga ban.
ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
 
Mimi huwa natoboa foronya alafu naficha ndani ya godoro... Basi hapo nalala mpaka saa nne asubuhi
 
Kununua kuku wa kisasa ni adhabu sana badala ya kulala unaanza kumlinda na pesa utampa😬😬
 
Unapotaka kulala hakikisha pochi unaitumbukiza mdomoni na kuibana chini ya ulimi na hakikisha hufungui mdomo hata akikusemesha mpaka kunakucha.
 
Hiyo ya pili utachemka.
Sihangaiki na chochote zaidi;

1. Big deal ni kusogeza kitanda kwenye mlango yaani mlango haufunguki hadi usogeze kitanda tena.

Au

2. Funguo naitumbukiza kwenye pochi au nguo zake akiwa haoni.
 
Weka M pesa.
ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
 
Rahisi sana, mvizie weka kwenye mkoba wake mwenyewe halafu lala kwa umakini, usingizi ukikupitia ata search kote ila hatojisachi yeye mwisho atarudi kulala au kukuamsha umlipe aondoke.
 
Usihangaike na vitu vyako.

Cheza na ufunguo tu.

Hakikisha kuwa hajuani na watu wa guest husika. Mkiingia tu, funga mlango. Funguo usichomoe.

Taa pia usizime. Kula mzigo, wana tabia ya kujidai kuwahi kulala ili nawe ulale.

Jifanye unaenda kuzima taa kule ukutani hata kama ipo karibu na kitanda.

Ukizima taa, chomoa na ufunguo.

Kuwa makini, hajalala bali anakuchora tu.

Jifanye kushika shika mto ili ajue unauchomeka kwenye mto. Alafu nenda chooni au bafuni. Weka tu pembeni ya kidirisha cha chooni.

Nenda kalale! Atakuamsha usiku mwenyewe kuwa anataka kuondoka!.

Au chomeka ufunguo kwenye kipakiti cha kondom, tupia uvunguni.

UZINZI HAULIPI. ACHANA NA MAGUMEGUME.
Mwanangu umetiiiiisha mbaya !
 
Japo kitaalamu inabidi wewe ndio uwe wa kwanza kufika eneo la tukio mapema kabla yake ili ufanye situational awareness kuwa wapi na wapi pa kuweka viti vyako mapema sana .

Ila kama unahisi unacheza gemu na gaidi sana basi unakuwa na pochi mbili tu

Moja bosheni isiyo kuwa na madhara sana na nyingine yenye madhara zaidi unaiweka sehemu ambayo unaona itakuwa haidhaniwi sana unachomeka kwenye angle ya kitanda .
Then moja unaiacha kwenye suruali .

Atahangaika na isiyokuwa na madhara .
 
ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
We ukishaingia chukua funguo funga kisha funguo weka kwenye nguobyake kisha lala vzr tu, asubuhi hauoni chako mnamaliza kwanza humohumo ndani kabla haujafungua mlango
 
Back
Top Bottom