Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Watu tunawaza kujenga uchumi ambao Bi Mkubwa kauharibu, nyie mikuchuru ya mbungani mnawaza tuuuu kupoteza energy kwenye ushirikizinaa. Sijui hapo tunaenda ama tunarudi kama taifa!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni konki kwenye hiyo seksheni1.Kama kuna tv weka nyuma ya tv,
2.Weka kwenye Buti zako ukishazivua,
3.Kama una gari,iache pochi kwenye gari,
4.Siku ukijua unaenda "Gesti" chukua hela za matumizi hayo tu,usiibebe pochi.
Nimejaribu kuchangia tu japo mm sio mtu wa mambo ya kubanjuka hovyo.🤣🤣
Hahahaa! sio kweli mkuu,wewe ni konki kwenye hiyo seksheni
Sihangaiki na chochote zaidi;ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Hiyo namba 2 ndio inakamilisha ule msemo wa;Sihangaiki na chochote zaidi;
1. Big deal ni kusogeza kitanda kwenye mlango yaani mlango haufunguki hadi usogeze kitanda tena.
Au
2. Funguo naitumbukiza kwenye pochi au nguo zake akiwa haoni.
Wana tabia ya Kukagua na Kukuibia pia.
Kikubwa chakufanya acha vinginevyo vyote kwa kaunta au acha ulevi kabla ya mtanange ni ulizitoshaHuku 'Malaya' wengi wameshakushtukia Mkuu. Nitajie Kwingineko tafadhali.
Mkuu,, kwa àsiyekuwa na gari unamshaurije sasa?Unaacha kwenye gar tu.shida zote za nini
Ma legendary mnajulikana kbs....Acha counter.
Nb; na mimi nimechangia tu wakuu.
mwambie muulizaji amuulize mkewe.ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Asee mna moyo mgumu yaani mimi mwanamke ambae simjui (ambae ndio mara ya kwanza kukutane nawe) kufanya nae mapenzi sidhani kama nitakuja kuwezaUsihangaike na vitu vyako.
Cheza na ufunguo tu.
Hakikisha kuwa hajuani na watu wa guest husika. Mkiingia tu, funga mlango. Funguo usichomoe.
Taa pia usizime. Kula mzigo, wana tabia ya kujidai kuwahi kulala ili nawe ulale.
Jifanye unaenda kuzima taa kule ukutani hata kama ipo karibu na kitanda.
Ukizima taa, chomoa na ufunguo.
Kuwa makini, hajalala bali anakuchora tu.
Jifanye kushika shika mto ili ajue unauchomeka kwenye mto. Alafu nenda chooni au bafuni. Weka tu pembeni ya kidirisha cha chooni.
Nenda kalale! Atakuamsha usiku mwenyewe kuwa anataka kuondoka!.
Au chomeka ufunguo kwenye kipakiti cha kondom, tupia uvunguni.
UZINZI HAULIPI. ACHANA NA MAGUMEGUME.
Wee upooo???Duh, ndivo mnavyoteseka?[emoji23][emoji23][emoji23]