Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

Unatakiwa uwe timamu tu kumkichwa,hatapata muda wa kukupiga,sasa ukiwa kitungi utapigwa tu.
 
1.Kama kuna tv weka nyuma ya tv,

2.Weka kwenye Buti zako ukishazivua,

3.Kama una gari,iache pochi kwenye gari,

4.Siku ukijua unaenda "Gesti" chukua hela za matumizi hayo tu,usiibebe pochi.

Nimejaribu kuchangia tu japo mm sio mtu wa mambo ya kubanjuka hovyo.🤣🤣
wewe ni konki kwenye hiyo seksheni
 
ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Sihangaiki na chochote zaidi;

1. Big deal ni kusogeza kitanda kwenye mlango yaani mlango haufunguki hadi usogeze kitanda tena.

Au

2. Funguo naitumbukiza kwenye pochi au nguo zake akiwa haoni.
 
Sihangaiki na chochote zaidi;

1. Big deal ni kusogeza kitanda kwenye mlango yaani mlango haufunguki hadi usogeze kitanda tena.

Au

2. Funguo naitumbukiza kwenye pochi au nguo zake akiwa haoni.
Hiyo namba 2 ndio inakamilisha ule msemo wa;

Mchawi mpe mwanao akulelee.
 
dah, mna roho ngumu kulala na 'wezi'

hao ni wa kugonga 'sho taim'
 
Kama kwenye chumba kuna dustrbin chukua kondom moja ivishe wallet tupa pamoja na zile ulizotumia juu yake ndan dust .
 
ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
mwambie muulizaji amuulize mkewe.
 
Usihangaike na vitu vyako.

Cheza na ufunguo tu.

Hakikisha kuwa hajuani na watu wa guest husika. Mkiingia tu, funga mlango. Funguo usichomoe.

Taa pia usizime. Kula mzigo, wana tabia ya kujidai kuwahi kulala ili nawe ulale.

Jifanye unaenda kuzima taa kule ukutani hata kama ipo karibu na kitanda.

Ukizima taa, chomoa na ufunguo.

Kuwa makini, hajalala bali anakuchora tu.

Jifanye kushika shika mto ili ajue unauchomeka kwenye mto. Alafu nenda chooni au bafuni. Weka tu pembeni ya kidirisha cha chooni.

Nenda kalale! Atakuamsha usiku mwenyewe kuwa anataka kuondoka!.

Au chomeka ufunguo kwenye kipakiti cha kondom, tupia uvunguni.

UZINZI HAULIPI. ACHANA NA MAGUMEGUME.
Asee mna moyo mgumu yaani mimi mwanamke ambae simjui (ambae ndio mara ya kwanza kukutane nawe) kufanya nae mapenzi sidhani kama nitakuja kuweza
 
Back
Top Bottom