Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kondoa sio pa mchezo, ila wanapenda kamati balaa
Kwanza nicheke sana umenikumbusha mbali sana hilo neno kamati hv linamaana gani?
Nakumbuka bibi yangu alikuwaga anapenda sana kusema nitakupeleka kamati hasa kama amekerwa na mtu kwa jambo fulani mfano mtu kachungisha mazao shamban kwake
 
Kuna Kijiji jina Dotina, manyara huko, aisee kile Kijiji wiki niliyokaa niliona kama miaka 5!! Dotina, Endamasaki, wenyeji wa kule heshima kwenu!!
😁😁😁 dotina noma sana halafu pisi za kule haziogagi halafu baridi kama urusi endasaki pazuri sana kama trip tatu nilipeleka karanga na vitunguu maji
Unashawahi kusika mbojo?
 
Mkuu endasaki ni kweli pazuri sana mwakq fulani Tulikuwa tunapeleka vitunguu tunavitoa berabera ulipo mto bubu kupitia njia ya siropu ila siropo kuna uchawi sana
Unajua mbojo?

Ndio maana nimeshangaa sana jamaa kusema Endasaki ni kubaya,pale pazuri sana,hali ya hewa ni nzuri,chakula cha kutosha,mazao full time wanalima mbugani,biashara unafanya bila tatizo,totozi za kimbulu ndio usiseme!,nimekaa pale one year napajua vizuri
 
Dodoma pazuri mjini TU pale na Kondoa pale mjini vijijini hukoo ni shida kwanza kuna sehemu nilienda wanatumia maji Yale kama maziwa hivi hata kwetu Kijijini hayapo kabisaa
😁😁 sehem gn hy maana kondoa yote nimeivuruga
 
Madabadaba a.k.a Ganja Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Mkoa wa Morogoro
Kijiji kiko ndani ndani hatarii-porini,nilikutana na wasukuma(wanaDress kama wamasai+fimbo) kibao_Ni mwendo wa kisukuma...

Kwa mara ya kwanza nilikosa kushuhudia pisi za kisukuma_kila mwanamke yuko na watoto wa kutosha!
 
Ndio maana nimeshangaa sana jamaa kusema Endasaki ni kubaya,pale pazuri sana,hali ya hewa ni nzuri,chakula cha kutosha,mazao full time wanalima mbugani,biashara unafanya bila tatizo,totozi za kimbulu ndio usiseme!,nimekaa pale one year napajua vizuri
Vp hujakutana na kashikashi za misukule aka mananau
Maana endasaki na siropu wamejaa kabila la wafyomi
 
Ndio maana ukiowa mwanamke wa kirangi ni rahisi sana kuhadaika na maisha ya mjini wengi wao wanazaliwa wanakulia kwenye maisha magumu chakula chao kikubwa ni ugali na nsanza ( majani yaliyokaushwa yanakaangwa halafu unatafuna kama karanga)
Duh dadeq mkuu nsanza nazipenda sana halafu sasa upate na mpototo aisee ugali wa uwele unashuka tu
 
umenichekesha sana hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio maana ukiowa mwanamke wa kirangi ni rahisi sana kuhadaika na maisha ya mjini wengi wao wanazaliwa wanakulia kwenye maisha magumu chakula chao kikubwa ni ugali na nsanza ( majani yaliyokaushwa yanakaangwa halafu unatafuna kama karanga)
huko si wanasema dini ndo imetamalaki balaa
 
**** kijiji Kiko meatu huko simiyu sijui Shinyanga huko hawana vyoo vya kujisaidia wao wanakunya kwenye pori jirani, Dadadadeki
 
Kutegeruka😁
😁😁😁!!!!!
 
wavidunda, wana miguu iliyoota vigimbi kwa ajili ya kushuka na kupanda milima ktk harakati za kwenda kuuza maharage kule Kidatu na Ruaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…