Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Sasa unasema masagati .....mbona hujafika kule Tanganyika mkuu?Masagati
MASAGATI
MASAGATI.
AISEEEH NIKIRUDI KULE MNIITE MBWA NIMEKAA PALEEEEEEEEE
Unaweza hisi upo kuzimu...
Hakuna huduma muhimu kwa binadamu,watu wanakula nyama yoyote ilimradi inatoka damu,nyani,kima,ngedere, twende.....
Ngono inafanyika kama mazoezi ya viungo tu,inauzwa kama njugu,mpaka najiuliza kweli kuna UKIMWI duniani!
Hakuna barabara wala umeme wala maji salama...
Mvua ikinyesha hakuna kutoka wala kuingia
Mkoa gani inapopatikana hiyo masagati na Tanganyika?Sasa unasema masagati .....mbona hujafika kule Tanganyika mkuu?
Hii nchi waigawanye tu aisee tuna linchi likubwa mnoo.
Hyo Masagati iskieni hivyo hivyo hakuna kanisa wala msikiti😂😂😂
😁😁😁😁😁😁😁Upaleni kule milimani siwezi kuishi hata kwa dawa
Naishi kondoa sasahivi......jamani pisi za huku ni amsha....kila wiki nabutua binti mpyaWachawi sana wa kutumia visomo(Quran) ila kuna mabinti wazuri kule acha kabisa.
Bangi inaondoa baridi, ila kwa sababu ya baridi hata ukiiwasha haiwakiMwakaleli- Tukuyu Mbeya. Aisee baridi lilinushinda pale Mwax sec.
Mtwara hakuna vijiji vibaya sana, ni moja ya mikoa ambayo vijiji vyake unakutana na NYUMBA nyingi kabisa, wanakuwa na Soko, maduka yanakuwepo. Kule 90% ya vijiji magari yanafika, nyumba nyingi ni zile za udongo lkn zenye bati na kubwa sio kama vijiji vya kule DODOMA Jmn hadi unajiuliza wanalalaje mule?? Sijui ilikuwaje lkn Mtwara kwenye vijiji wako far better than 80% ya mikoa ya TZ.
Kwangu mimi mikoa ambayo ni ya kijinga zaidi ni DODOMA, KIGOMA, MANYARA, KATAVI, SHINYANGA, MARA na SINGIDA bila kusahau MOROGORO, hiyo mikoa ina vijiji vya ajabu sana sana sana sana.
Hao jamaa mpakanyumba iliyopakana na msitu Ina umeme sio poaKilimanjaro so far sijaona maeneo yake yakitajwa.
Ha ha haaa.....Niliwahi kufika kule mwaka 2002 mpaka mimea inaungua kutokana na baridi nilifika Kandete, Kyejo mpaka Isange kupitia kiwanda cha majani ya chai Katumba au Tandale Tukuyu Mjini.
Ukwama maketeHabari za muda huu wana JF,
Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya
Mfano, Mimi niliwahi kutembelea Kijiji cha Baranga kata ya Sirorisimba kupitia Kyagata. Nilistajabu na kujiuliza Hawa watu huku wanaishije?
Ukame ndio kwao, maji shida, Hali ya hewa mbovu, jua kali ndio kwao, vurugu Sasa ndio chimbuko lake. Siku moja tulikuwa na mechi ya kirafiki na timu ya Kijiji jirani ile tupo kwenye gari tukashangaa tunaanza kurushiwa mawe barabarani.
Kwa kuwa sisi tulikuwa wageni tuliogopa sana lakini wenyeji wakatuambia msiogope hao wote tutakutana kwenye mnada. Siku nyingine tulikuwa Mnadani Sirorisimba siku hiyo kulikuwa na mgogoro wa mpaka wa shamba kati ya ukoo na ukoo huku polisi wakiwa na mitutu ya bunduki lakini ilivyo ajabu watu wa kule nilishudia wakibebana na kuhamasishana wabebe mishale waende wakaanzishe vurugu.
Wewe ulipita wapi na ulistaajabu nini?