Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Kishapu shinyanga
Weee sasa hivi kuna maji kuna hospital,kuna halmashauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kishapu shinyanga
Pabaya sanaWeee sasa hivi kuna maji kuna hospital,kuna halmashauri
kuna sehemu nilipita kuna Secondary ya kiislamu sijui inaitwa IDISYA vijiji sikuvijua majina ila wilaya hio hio ya ikungi ..tulitokea singida mjini aisee palikua ni mbali kinoma mpaka watoto bado wanaogopa magari, maji ni meupe kama maziwa nayo ni kidogo mnooSingida ,Wilaya ya ikungi,kuna vijini kama mandimu,mkungua kihendo aise kule ni kukame maji ni shida ,umeme sijui utafika link huko,mitandao ya shida ,maji machafu kiukwel sijui wanaishi vipi lakini ni mazingira magumu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] magalataKishapu shinyanga
bado hapafai kuishiWeee sasa hivi kuna maji kuna hospital,kuna halmashauri
😂😂😂😂 sema hakuna sehemu za starehe hata mi sipapendi ni kwenu?Pabaya sana
Panafaa maji yanatoka mwanza umeme upo,network ipo ,hospital ipo na barabara ya kufika shy town unafika tubado hapafai kuishi
Hamna siyo kwetu ila nliwahi kufika😂😂😂😂 sema hakuna sehemu za starehe hata mi sipapendi ni kwenu?
ile barabara kuja kufika town unaumwa mgongo, usafiri wa shida , ukame , hamna matunda na mboga za majani ,hamna maduka ya maanaPanafaa maji yanatoka mwanza umeme upo,network ipo ,hospital ipo na barabara ya kufika shy town unafika tu
Maduka mpaka shy siku hiz wamefungua kule halmashauri 😂😂😂😂ile barabara kuja kufika town unaumwa mgongo, usafiri wa shida , ukame , hamna matunda na mboga za majani ,hamna maduka ya maana
Dodoma vijijini. huwa nafikiria sana, maji ni shida kupita kiasi, kilimo hakikubali, ufugaji sio wafugaji wa maana. wanakula nini? mbona kuna maeneo mengi tu mikoa mingine yapo wazi wangeenda wakalima wakapata chakula wakaishi vizuri tu?Habari za muda huu wana JF,
Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya
Mfano, Mimi niliwahi kutembelea Kijiji cha Baranga kata ya Sirorisimba kupitia Kyagata. Nilistajabu na kujiuliza Hawa watu huku wanaishije?
Ukame ndio kwao, maji shida, Hali ya hewa mbovu, jua kali ndio kwao, vurugu Sasa ndio chimbuko lake. Siku moja tulikuwa na mechi ya kirafiki na timu ya Kijiji jirani ile tupo kwenye gari tukashangaa tunaanza kurushiwa mawe barabarani.
Kwa kuwa sisi tulikuwa wageni tuliogopa sana lakini wenyeji wakatuambia msiogope hao wote tutakutana kwenye mnada. Siku nyingine tulikuwa Mnadani Sirorisimba siku hiyo kulikuwa na mgogoro wa mpaka wa shamba kati ya ukoo na ukoo huku polisi wakiwa na mitutu ya bunduki lakini ilivyo ajabu watu wa kule nilishudia wakibebana na kuhamasishana wabebe mishale waende wakaanzishe vurugu.
Wewe ulipita wapi na ulistaajabu nini?
Ngoja niiangaliePm haifunguki Mwalimu wa tuisheni
Mara hiyo-mpkani mwa serengeti na butiamaBaranga kata ya Sirorisimba hiki kijiji kiko wilaya ipi na mkoa upi?
Kabisa kabisa, huku wakazi wengi maisha yao angalau sema serikali ndo inawaangusha kwa kutowapelekea miundombinu mizuri.sema wale jama maeneo mengi ya mkoa wao yapo smart sana ,masifa yao yana kaukweli flani hivi
Kuna jamii haijui kama kuna sehemu nyingine zaidi ya wanapoishi wao.Dodoma vijijini. huwa nafikiria sana, maji ni shida kupita kiasi, kilimo hakikubali, ufugaji sio wafugaji wa maana. wanakula nini? mbona kuna maeneo mengi tu mikoa mingine yapo wazi wangeenda wakalima wakapata chakula wakaishi vizuri tu?