Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Me huwa natamani nikaishi sehemu hamna watu,
Kama kwenye pango hivi
ni enjoy nature na uhuru
Niamke nikachume maembe nile ni chill kwenye mti na tumbili,
Nikaoge mtoni,

Sio unaamkia saa kumi uanze kupiga deki, kupika chai, kufua, ukawahi kudandia daladala za moja kwa moja dirishani,
upigwe na jua na suti yako mjini,
ukerane na wasakatonge wenzio,
urudi kichwa kinauma hujanywa lita za maji,
Ukutane na tozo na mwenye nyumba anakudai na mjomba kameza shoka kijijini mchango unahitajika,
Mara upate corona ufe,
sijaongelea mahusiano...


Sema naogopa kuwindwa na serial killer huko porini bora nibanane na binadamu wenzangu huku huku.
Imagine umejenga kibanda chako in the middle of nowhere halafu mtu anakugongea usiku 😳
 
Nandete, Kipatimu,Kilwa. Lindi.
Kuiyona lami Ni saa 4. Milima na mabonde. Maji huduma za kijamii maduka tu shida mwendo wa Sola ... Cha ajabu nauli 13000/=Mwendo was saa 6 kufika DAR-ES-SALAAM...
Uliishi kipatimu?kama ni hapo napingana na wewe ila kama ni Nandete huenda upo sawa.
 
Duuu hi yako noma Sana mkuu
 
Sasa unasema masagati .....mbona hujafika kule Tanganyika mkuu?
Hii nchi waigawanye tu aisee tuna linchi likubwa mnoo.
Hyo Masagati iskieni hivyo hivyo hakuna kanisa wala msikiti😂😂😂
Kanisa na.msikiti? Huko hakuna sadaka ndio maana hawajengi
 
Ndio nyumbani kwetu kule. Karibia nyumba zote zina umeme, maji karibu kaya zote zina bomba. Shule ni nyingi mno mpaka nyingine zina wanafunzi wachache. Kuna nyumba nzuri za kisasa.
 
Kijiji kimoja kipo bukoba -omurushaka-nkwenda— halafu unazani ndaaaaaaani kabisa ,usafir kutoka huko kuja nkwenda gari moja Linapita saa kumi halafu mnapakatana , niliajiriwa huko nmiefika kama leo kesho yake nikaamua kuondoka gari likapita kunichukua aisee hawataki hata nikojoe eti wanaChelewa, nilijikojolea kwenye gari na kazi ndo ikawa basi
 
Bukoba halafu omurashaka tena?
 
Itakuwa Kaisho hiyo au Kibingo baada ya Ile Milima utazani unaitafuta sudani ya kusini.

Ila mbunye za kule ni tamu ukiziotea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wikiendi unaibuka hapo Murongo ila upande wa Uganda kunaitwa Chigagati Uganda.

Mbususu za bule na brothel zinafanya kazi masaa 24.

Ungekaa Kaa kidogo uolewe na Wanyankole au Watutsi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Kijiji kinaitwa KWAMASIMBA Kiko wilaya ya Korogwe mjini. Aiseee pale gari zinafika cruiser mkonga tu Tena kwa gear namba moja ikisaidiwa na four wheel LOW.
 

Utani wa ngumi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…