Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
- #661
Jamaani kule kwa Moto maji ya madimbwi baada ya mvua kunyesha pale baranga secondary kwa chini wanakamgodi kao wanachimbaga dhahabu na maralia hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaani kule kwa Moto maji ya madimbwi baada ya mvua kunyesha pale baranga secondary kwa chini wanakamgodi kao wanachimbaga dhahabu na maralia hatari
Meatu Simiyu aisee ni noma jina la hicho kijiji nimesahau, unaanza gari vile vi ptobox, unakuja boda, baiskeli unamalizia TZ 11.Kuna Kijiji nilienda mpaka unafika inabidi utumie aina zote za Usafiri kasoro Ndege na Treni.
Kukoje huko, tupe uzoefu kidogoIsaula....mgololo mufindi nilishindwa aisee.....
Uliishi kipatimu?kama ni hapo napingana na wewe ila kama ni Nandete huenda upo sawa.Nandete, Kipatimu,Kilwa. Lindi.
Kuiyona lami Ni saa 4. Milima na mabonde. Maji huduma za kijamii maduka tu shida mwendo wa Sola ... Cha ajabu nauli 13000/=Mwendo was saa 6 kufika DAR-ES-SALAAM...
Duuu hi yako noma Sana mkuuMe huwa natamani nikaishi sehemu hamna watu,
Kama kwenye pango hivi
ni enjoy nature na uhuru
Niamke nikachume maembe nile ni chill kwenye mti na tumbili,
Nikaoge mtoni,
Sio unaamkia saa kumi uanze kupiga deki, kupika chai, kufua, ukawahi kudandia daladala za moja kwa moja dirishani,
upigwe na jua na suti yako mjini,
ukerane na wasakatonge wenzio,
urudi kichwa kinauma hujanywa lita za maji,
Ukutane na tozo na mwenye nyumba anakudai na mjomba kameza shoka kijijini mchango unahitajika,
Mara upate corona ufe,
sijaongelea mahusiano...
Sema naogopa kuwindwa na serial killer huko porini bora nibanane na binadamu wenzangu huku huku.
Imagine umejenga kibanda chako in the middle of nowhere halafu mtu anakugongea usiku 😳
Kanisa na.msikiti? Huko hakuna sadaka ndio maana hawajengiSasa unasema masagati .....mbona hujafika kule Tanganyika mkuu?
Hii nchi waigawanye tu aisee tuna linchi likubwa mnoo.
Hyo Masagati iskieni hivyo hivyo hakuna kanisa wala msikiti😂😂😂
🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio nyumbani kwetu kule. Karibia nyumba zote zina umeme, maji karibu kaya zote zina bomba. Shule ni nyingi mno mpaka nyingine zina wanafunzi wachache. Kuna nyumba nzuri za kisasa.Hayo maeneo ya kawaida sana, hakuna kipya kibaya au kitu cha ajabu. Jiografia yake ndio inaweza kukutisha lakini ukipakaribia utagundua pako poa.
Mahali penye barabara inayopitika majira yote na huduma zote muhimu za kijamii, sio mahali pa ajabu.
Kwa mfano, kwa Kilimanjaro, eneo kama wilaya ya Mwanga (maeneo ya huko milimani).
-Pana barabara ya lami kutoka tambarare mpaka juu kileleni mwa milima huko kwenye vijiji vya wapare (sijui Usangi, Ugweno?), na usafiri wa umma unaelezwa kuwepo wakati wote wa siku, kuanzia alfajiri mpaka mida ya usiku. Sijui serikali iliamua kuwapendelea? Maana hakuna shughuli yoyote ya maana ya uzalishaji kama kilimo nk.
-Tanesco wanasema mtandao wa umeme ulifika huko milimani tangu miaka ya 1980, na kwa sasa zaidi ya 90% ya kaya zao zina umeme.
-Hayo maeneo mbali ya kuwa na vituo vya afya vya kutosha, inaelezwa wana zahanati karibu kila kijiji, shule kila kijiji, maji ya bomba karibu kila kaya, vituo vya polisi, mahakama nk.
Bukoba halafu omurashaka tena?Kijiji kimoja kipo bukoba -omurushaka-nkwenda— halafu unazani ndaaaaaaani kabisa ,usafir kutoka huko kuja nkwenda gari moja Linapita saa kumi halafu mnapakatana , niliajiriwa huko nmiefika kama leo kesho yake nikaamua kuondoka gari likapita kunichukua aisee hawataki hata nikojoe eti wanaChelewa, nilijikojolea kwenye gari na kazi ndo ikawa basi
Itakuwa Kaisho hiyo au Kibingo baada ya Ile Milima utazani unaitafuta sudani ya kusini.Kijiji kimoja kipo bukoba -omurushaka-nkwenda— halafu unazani ndaaaaaaani kabisa ,usafir kutoka huko kuja nkwenda gari moja Linapita saa kumi halafu mnapakatana , niliajiriwa huko nmiefika kama leo kesho yake nikaamua kuondoka gari likapita kunichukua aisee hawataki hata nikojoe eti wanaChelewa, nilijikojolea kwenye gari na kazi ndo ikawa basi
Bukoba halafu omurashaka tena?
Itakuwa Kaisho hiyo au Kibingo baada ya Ile Milima utazani unaitafuta sudani ya kusini.
Ila mbunye za kule ni tamu ukiziotea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wikiendi unaibuka hapo Murongo ila upande wa Uganda kunaitwa Chigagati Uganda.
Mbususu za bule na brothel zinafanya kazi masaa 24.
Ungekaa Kaa kidogo uolewe na Wanyankole au Watutsi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuhizi Butiama kumbe ni Wilaya?Mkoa wa Mara wilaya ya Butiama
Ndio ni wilaya mkuuSikuhizi Butiama kumbe ni Wilaya?
Yaani hata Mimi najiuliza Kuna Lindi na Mtwara sijui walifuata niniHivi ilikuwaje hadi watu wakaishi mkoa wa rukwa?
😙😗🤣🤣🤣🤣🤣Kuna Kijiji kinaitwa KWAMASIMBA Kiko wilaya ya Korogwe mjini. Aiseee pale gari zinafika cruiser mkonga tu Tena kwa gear namba moja ikisaidiwa na four wheel LOW.