Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Aiseee, ulijikojolea
Tena umepakatwa
 
Kwa hiyo kwa sasa wewe sio Mwalimu tena??
 
Hii ni kwel kabsa
 
Tanzania hii ni kubwa sana nashangaa watu kujilinganisha na Rwanda, na Kenya kimaendeleo wakati hizo nchi zinaingia mara mbili kwa Tanzania
Mbona Russia [emoji635] ni mara 5 ya England [emoji636] lakin zinalingnishwa kiuchumi?
 
Mbulu,unapanda milima karibu saa nzima,ukifika kule sasa,baridi lake sio la nchi hii,mpaka unajiuliza hawa watu huku walifikafikaje...
 
Yaani hata Mimi najiuliza Kuna Lindi na Mtwara sijui walifuata nini
Nyie jamaa mna mtindio wa ubongo. Kwakua mnaishi sehemu mnazoona ni nzuri mnawashangaa wanaoishi Rukwa, Lindi na Mtwara. Imagine wote tubanane huko kwenu mnakoona kuzuri.

Lile somo la kuishi kwa kutegemeana halikuwaingia vizuri. Rukwa na Lindi inafanya kilimo cha Mahindi na maharage vizuri sana, Mtwara wanalima korosho tunajipatia vipato vizuri.

Kama ukielewa hili hautajiuliza kwa nini hawa wako hapa wale wapo pale otherwise ubinafsi umewatawala vichwani
 
Dodoma Kuna sehemu inaitwa farqwa,Kondoa road.
Pengine ni Mtambaswala,Masasi ,Lindi,na Nakapanya kama unaenda Tunduru,nchi hii basi tu,huko watu wanakula mpaka upupu
Mtambaswala na Nakapanya kuna shida gani?? Hizo sehemu ni lami, zina bar na maduka, kuna network.. Nyama na kila aina ya starehe unazipata hapo. Ofisi za serikali zipo na huduma zote za kijamii. Hujatembea wewe
 
Yaani hata Mimi najiuliza Kuna Lindi na Mtwara sijui walifuata nini
MTWARA ipi?? Mtwara inaizidi mikoa mingi sana Tanzania kwa Maendeleo, Hata vijiji vyake huwezi linganisha karibu na Robo 3 ya mikoa ya Tanzania hii. Unalinganisha Mtwara na mikoa ipi??
 
Kuna kijiji kinaitwa Irimirya wakati ni Wasukuma kimepakana Singida na Tabora.
 
Kupata kiberiti Lazima upande tandamu zinazobeba magogo uwape 1500 na kurudi 1500 jumla buku tatu kiberiti Cha mia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo kiberiti ni 3600/=TSH Nchi yangu bado unakuta mtu kavaa CCM nambari one
 
Nzugilo Mpwapwa.
Dah,kule ni another country,tulienda kufanya vaccination records taking, people wakawa wanatukimbia, thanks mwl mmoja akawatoa hofu kwamba siyo police [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I remember that day [emoji137][emoji137]
 
Ungevumilia tu mambo yange kuwa mazuri
 
Kuna Kijiji kipo singida mkalama kinaitwa nyahaa na kingine ni kilosa panaitwa kisiwani duh huko hapa ase
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…