New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Aiseee, ulijikojoleaKijiji kimoja kipo bukoba -omurushaka-nkwenda— halafu unazani ndaaaaaaani kabisa ,usafir kutoka huko kuja nkwenda gari moja Linapita saa kumi halafu mnapakatana , niliajiriwa huko nmiefika kama leo kesho yake nikaamua kuondoka gari likapita kunichukua aisee hawataki hata nikojoe eti wanaChelewa, nilijikojolea kwenye gari na kazi ndo ikawa basi
Tena umepakatwa