Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Mimi huwa nikipita na gari barabarani maeneo ya kondoa yalivyo makavu na pia nikiwangalia wakazi wa maeneo yale wanavyoishi maisha ya mateso huwa najisikia vibaya sana....
Mbona naona wako bien tuu...ushawahi pita pita maeneno ya kuanzia babati kama unaenda Arusha wale watu ndo wa kuwaonea huruma..ndo maana wakabuni nguo ndefu za mashuka maana ule upepo na vigauni vyetu tungejikuta tupo wazi...au shati linaweza jaa upepo ukapaa..yale mashuka ni wind proof...
 
Dah qqmkk
 
Sio Kijiji Ungesema Hii Nchi Ya Tanzania Watu Wanakalia Nini haileweki.
 
Natamani uandike kitabu Cha simuli mkuu
 
Hatari Sana jamii
Nimezunguka sehemu kibao watu wanaishi sehemu ambazo ukifika
Unajiuliza walifikaje huko na kuanza maisha milimani
Wengine ukiongea nao wanakuambia enzi za nguvu kazi
Watu ndiyo walipoanza kukimbiaa

Ova
Jamii imetoka mbali
 
Umenikumbusha isenyela, chalangwa, mlima njiwa, matundas na Makongolosi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushawai kufika itumbi? Siku ya kwanza kufika sikuamini ni ndani ila kumechangamka vibaya mno kama upo mwanjelwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…