PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa watu wanaishi interior sio poa mkuu 🤣Hiyo nauli ni mara mbili ya kutoka iringi to mbeya mkuu 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hiyo nauli ni mara mbili ya kutoka iringi to mbeya mkuu 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Mimi kuna maswali huwa najiuliza sipati majibu.hadi leo huwa najiuliza hivi hawa watu vyoo vyao wanachimbaje, au wanaweka uchafu wao kwenye rambo?
Yaani ndo ujue kuna watu wanaishi dunia yao mkuuSi nauli ya dar kabisa mkuu, kweli nchi kubwa hii
Serikali inatakiwa inapeleke Walimu na Polisi na ma DaktarBukiriro wilaya ya Ngara.....uchawi wa kutisha.....ukipangiwa kazi huko huwez kurud nyumban wanakjj wanakufungia huko
Wanakufungia kwa lengo gani?ili wanufaike na nini?Bukiriro wilaya ya Ngara.....uchawi wa kutisha.....ukipangiwa kazi huko huwez kurud nyumban wanakjj wanakufungia huko
Ni mkoa gani?Kawe kapina -Heka kumi kwa elf 15 .Ukiwa na 50 na nyumba unajenga kabisa .Tanzania bado poriii.
Tabora - Tanzania tena wanaweza kukupa buree kabisa.Ni mkoa gani?
Dah kuna muwekezaji alikuwa anaitaka sehemu kama hiyo ngoja nimuoneshe hapa.Mwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.
Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.
View attachment 2378247
Hawa lazima wawe na maeneo yakutosha 76,150 km² sio utaniTabora - Tanzania tena wanaweza kukupa buree kabisa.
Dah noma sanaKijiji cha Orarashi ndani ya Monduli, watoto kiswahili hawajui kabisa, ilinilazimu nijifunze kimasai ili twende sawa,
Dah huko ni hatari sanaKuna kijiji kipo singida sijui ni wilaya ile inaitwa Ikungi...kijiji chenyewe kinaitwa ighuka kimezungukwa na machimbo yan duh sio mchezo huduma za jamii zipo kwa asilimia 1%
MorogoroIko kijiji kipo mkoa gani mzee.
Ngoja nifanye mpango nifke huko, au kuna ulinzi mkali sana kipindi hikiKijiji kinaitwa Magwamila kiko Nambendo Wilaya ya Songea ndani ndani uko, wale wayao 95% wote ni watu wa Msumbiji ni mbali kishenzi
Wanafata nn kuleHahaa watu wanaishi interior sio poa mkuu 🤣
Dah!(Dar)Dar jamani maeneo kama Mabibo, Kigogo, Tandale, Mchikichini n.k kuna mfumo mbovu wa maji taka huleta harufu mbaya na hewa nzito na joto kali
aiseeKijiji cha Kitapi, kipo wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani. Kipindi nimehamishiwa kikazi nimekuta maji ni kuchota visima vifupi, barabara imefunikwa na manyasi, hakuna mtandao wa simu hadi upande kwenye miti, nyumba zipo mbalimbali na zipo msitu, huduma ya soko ni kuanzia saa kumi Jioni hadi saa kumi na mbili jioni mchana watu wapo shamba, giza linaanza saa kumi na moja jioni kwa sababu ya msitu mnene, hakuna bodaboda zaidi ya zinazokuja na kutoka, mvua ikinyesha hakuna safari tena sababu ya utelezi na matope, husikii muungurumo wa gari kwa sababu gari pekee ni wakati wa mitihani ya darasa la saba.