Ni shamra shamra za harusi ya binti wa Samia weekend hii

Ni shamra shamra za harusi ya binti wa Samia weekend hii

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
4,928
Reaction score
8,976
NI bashasha kwa waalikwa.
Screenshot_20230227-074125.png
IMG_20230227_074130.jpg
IMG_20230227_074134.jpg
IMG_20230227_074137.jpg
IMG_20230227_074141.jpg
 
Makamba ana sura moja ya kijanja janja sana, kasura kauongo ungo mwingi.
Isingekuwa siasa lazima angekuwa muuza iphone fake makumbusho au dalali tapeli tapeli hivi.

Hilo pozi hapo hapo kwenye picha ni kama dalali aliyemuona mtu aliemtapeli anakuja.
IMG_20230227_074137.jpg
 
Lazima utakuwa jinsia Ke.... Maana Jinsia Me huwa hatuna muda wala tabia ya kuichunguza sura ya Me mwenzetu...
It takes one to know the other.

Itakuwa umenifananisha na mtu mnaonunua wote sanitary pads ndio maana ukahisi nitakuwa wa jinsia ke kama wewe.

By the way mimi ni mwanaume na sina michezo michafu ya kufanya na wanaume wenzangu, on that note, kuwa na amani Bwana 'ako aliekuuma sana kumithilishwa na ujanja ujanja bado ni Bwana wako. Enjoy him na siku njema.
 
It takes one to know the other.

Itakuwa umenifananisha na mtu mnaonunua wote sanitary pads ndio maana ukahisi nitakuwa wa jinsia ke kama wewe.

By the way mimi ni mwanaume na sina michezo michafu ya kufanya na wanaume wenzangu, on that note, kuwa na amani Bwana 'ako aliekuuma sana kumithilishwa na ujanja bado ni Bwana wako. Enjoy na siku njema.
Basi acha ushoga ndugu yangu. Au ulishaacha?

Kama ulishaacha basi acha na tabia zake. Mwanaume unaanzaje kuchunguza sura ya mwanaume mwenzio???
 
Back
Top Bottom