Ni shamra shamra za harusi ya binti wa Samia weekend hii

Makamba ana sura moja ya kijanja janja sana, kasura kauongo ungo mwingi.
Isingekuwa siasa lazima angekuwa muuza iphone fake makumbusho au dalali tapeli tapeli hivi.

Hilo pozi hapo hapo kwenye picha ni kama dalali aliyemuona mtu aliemtapeli anakuja.
 
Lazima utakuwa jinsia Ke.... Maana Jinsia Me huwa hatuna muda wala tabia ya kuichunguza sura ya Me mwenzetu...
It takes one to know the other.

Itakuwa umenifananisha na mtu mnaonunua wote sanitary pads ndio maana ukahisi nitakuwa wa jinsia ke kama wewe.

By the way mimi ni mwanaume na sina michezo michafu ya kufanya na wanaume wenzangu, on that note, kuwa na amani Bwana 'ako aliekuuma sana kumithilishwa na ujanja ujanja bado ni Bwana wako. Enjoy him na siku njema.
 
Basi acha ushoga ndugu yangu. Au ulishaacha?

Kama ulishaacha basi acha na tabia zake. Mwanaume unaanzaje kuchunguza sura ya mwanaume mwenzio???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…