I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 804
- 1,362
The Law of Marriage Act inakataza ndugu kuoana na ni kosa kisheria. Nimesahau specific provision ila ipo sheria hiyo.Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Suala hapa siyo kutamani ndugu. Lengo la huu uzi ni kupeana uelewa kuhusu sheria zinazokataza mambo kama haya pamoja na utekelezaji wake.Duuh mmeanza kutamani hadi ndugu zenu 🤔🤔 mbona hatari sasa hii
Soma Law of marriage Act. Kuna section zinaongelea prohibited relationship. Sikumbuki section gani.Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Sawasawa nimekupata vyema mkuu.. Na ni ndugu hasa kwa mipaka ipi? Ndugu wa familia moja au inalenga hadi ndugu kama mabinadamu pia?The Law of Marriage Act inakataza ndugu kuoana na ni kosa kisheria. Nimesahau specific provision ila ipo sheria hiyo.
Hata bigamy na polyandry ni kosa kisheria. Hapa namaanisha ni kosa kisheria mtu aliyepo kwenye ndoa ambayo haijavunjika kuoa ama kuolewa na mtu mwingine.
Ama mwanamke mmoja kuolewa na zaidi ya mwanaume mmoja.
Haipo mkuu,oana na huyo ndugu yako mzae watoto mlee kwa pamoja tu.Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Wanavutiwa hadi na watoto wao wa kuwazaa dear, ni nini ndugu?Hivi ndugu wanawavutia??
Asante sana ngoja niifatilie hii sheriaSoma Law of marriage Act. Kuna section zinaongelea prohibited relationship. Sikumbuki section gani.
The Law of Marriage Act inakataza ndugu kuoana na ni kosa kisheria. Nimesahau specific provision ila ipo sheria hiyo.