DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Sheria zinazozuia Ziko Mbili Sheria Mama (Kanuni ya Adhabu ya makosa Ya Jinai) Penal code sura ya 16 pamoja na Sheria ya Ndoa "The Marriage Ordinance" Sura ya 29...Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Kwa Penal code Soma Kifungu cha 158-162..
Kwa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1977 "The marriage Ordinance Soma kifungu cha 14