Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Sheria zinazozuia Ziko Mbili Sheria Mama (Kanuni ya Adhabu ya makosa Ya Jinai) Penal code sura ya 16 pamoja na Sheria ya Ndoa "The Marriage Ordinance" Sura ya 29...

Kwa Penal code Soma Kifungu cha 158-162..
Screenshot_20240310_213525_Adobe Acrobat.jpg

Screenshot_20240310_213550_Adobe Acrobat.jpg

Kwa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1977 "The marriage Ordinance Soma kifungu cha 14
Screenshot_20240310_214009_Adobe Acrobat.jpg
 
The Law of Marriage Act inakataza ndugu kuoana na ni kosa kisheria. Nimesahau specific provision ila ipo sheria hiyo.

Hata bigamy na polyandry ni kosa kisheria. Hapa namaanisha ni kosa kisheria mtu aliyepo kwenye ndoa ambayo haijavunjika kuoa ama kuolewa na mtu mwingine.

Ama mwanamke mmoja kuolewa na zaidi ya mwanaume mmoja.
Yes sheria ya ndoa hasa hasa. Na nyingine ni sheria ya makosa ya jinai (penal code)
 
Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Sheria ya asili na sheria ya maadili.
 
Sheria zinazozuia Ziko Mbili Sheria Mama (Kanuni ya Adhabu ya makosa Ya Jinai) Penal code sura ya 16 pamoja na Sheria ya Ndoa "The Marriage Ordinance" Sura ya 29...

Kwa Penal code Soma Kifungu cha 158-162..
View attachment 2930663
View attachment 2930664

Kwa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1977 "The marriage Ordinance Soma kifungu cha 14
View attachment 2930668
Asante sana Dr. Nimesoma vizuri kwa kina, nimekupata vizuri. Sasa nimezielewa vyema hizi sheria, sikuzijua hapo kabla... Japo bado sijaona kipengele kilichoelezea kuhusu hawa ndugu wanaoitwa "Cousins". Naona hawajaongelewa kabisa.
 
Binamu haijakatazwa
 
Hakuna Sheria yoyote wala Dini yoyote inayozuia kuoa Binamu Mkuu..
Binamu ni Ruksa Japo Taboo haziruhusu
 
Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Sheria ya makosa ya jinai. Wanasema kuzini na maharimu
 
Back
Top Bottom