Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kinyungu,Waislam hawakusoma hizo shule Sheikh Said? Kwa nini Waislam hawakujenga shule?
Angalia posr #236 nimeeleza kuwa Waislam walijenga shule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinyungu,Waislam hawakusoma hizo shule Sheikh Said? Kwa nini Waislam hawakujenga shule?
Waarabu sidhanii kama walijenga shule.Habari wadau.
Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc
Je, ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni Waarabu?
Maana waarabu walitangulia kuja Tanganyika na Zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja.
Zanzibar pia waarabu walifika mapema sana maana msikiti wa Kazimkazi ulijengwa mwaka 1006 AD, waarabu walitawala kwa miaka mingi Zanzibar na walifika mapema sana, naomba mnitajie ni shule gani ya sekondari waarabu walijenga Zanzibar, na ilijengwa mwaka gani?
Hizo shule tulijenga wanyamwezi wenyewe kupitia machifu wetu,yaani shule ajenge mzungu halafu imilikiwe(owned) na mwafrika,Kama wanyamwezi huwa tunajidaia hizo shule,na utawala wa unyanyembe(tabora mjini) ulichukuliwa na mwarabu baada ya kuoa kwa ntemi na kujiingiza kwenye local politics,miongoni mwa vitu vilivyomuudhi milambo Hadi kupigana nao Vita
Kabla ya wakoloni wa Kizungu kuja hapa nchini tayari Waarab walikuwa wametawala Zanzibar na Pwani ya Tanganyika kwa miaka karibu 1,000 na hata maili kumi za pwani Mjerumani aliuziwa na Sultan wa Zanzibar. Walishindwa kijenga shule au vyuo? Bado kuna pockets nyingi za nchi Waarabu walikuwepo kwa muda mrefu kama watawala kabla ya Wazungu kama vile Ujiji, Tabora, na central corridor karibu yote. Hawana cha kujitetea...Waisilam wangejenga vipi nawao hawa kuwa watala wa nchi hii wazungu ndio waliokuwa watala kwa mgogo wa kanisa
Kweli sehemu zenye waisilamu wengi azina wasomi bali zenye wakiristo wengi ndio zanye wasomi swaliKule. Kwao kulikuwa Hakuna hizo shule. Ndio waje wajenge huku.
Elimu iliyopo duniani ni ya mfumo WA Ulaya. So ndio maana walipokuja wali jenga shule ili kuuleta huku.
Watu WA MO wao alikuwa wanajua kitabu kimoja tu maisha Yao yote. Mambo ya law of motion hayakuwa muhimu Kwao hata Sasa maeneo ambayo wamejaa waislam shule sio muhimu Kwao sababu wamebeba mfumo/tamaduni ule WA kiarabu.
Kwa akili yako ilivyo finyu unafikir hizo madrasa walizo Jenga ni Nini kama sio shuleHabari wadau.
Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc
Je, ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni Waarabu?
Maana waarabu walitangulia kuja Tanganyika na Zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja.
Zanzibar pia waarabu walifika mapema sana maana msikiti wa Kazimkazi ulijengwa mwaka 1006 AD, waarabu walitawala kwa miaka mingi Zanzibar na walifika mapema sana, naomba mnitajie ni shule gani ya sekondari waarabu walijenga Zanzibar, na ilijengwa mwaka gani?
Nililenga la kijerumani,sorry mkuu,ndiyo maana sentensi za mbele zimefanya ufafanuziAisee... hilo ni neno la Kijerumani na hadi leo ujerumani wanatumia neno schule.
Muongezee na hii chuo kikongwe Zaid duniani ni alhazali kilichoko misri hiyo ni kabla marekani haijulikani dunianiSoma chemistry kwa nini imeitwa chemistry,hiyo ni taaluma iliyoanzishwa na mwarabu Kama ilivyo kwa aljebra,msome ibn Sina ujue alifanya nini!?..elimu imeanzia mashariki ya kati, Syria na Iraq,mwarabu hakuja kutawala/kufanya ukoloni hasa kwa Tanganyika,lakini,mzungu alikuja kutawala akitafuta malighafi,alihitaji matarishi wa kuwatuma,hivyo ilibidi ajenge shule ili ujifunze namna afanyavyo kazi,hakuna na lengo jingine,lakini hospitali ya ocean road ilikua shule
Google,huyo Kuna vitu anaviacha for the sake of debateTo historia hiyo haijasema ilikua owned na African chief daughters? Nilivyoelewa mimi hiyo shule ilijengwa kwaajili ya kusoma watoto wa kike wa machief na baadae watoto wote wakike wakawa wanaruhusiwa kusoma.
Kingine kilikua Mali kabla ya oxfordMuongezee na hii chuo kikongwe Zaid duniani ni alhazali kilichoko misri hiyo ni kabla marekani haijulikani duniani
Nililenga kijerumani mkuu,si unajua Januaryshule ni neno la kijerumani
Mwarabu hakupeleka manamba kwa lazima kwenye mashamba ya mikonge,pamba,kahawa,karanga nk,yeye alifuata pembe za ndovu congoUnyonyaji na ukadamizaji waliofanya waarabu wenyewe haukusaidia kujenga shule ila ulisaidia kujenga makanisa tu
Muarabu hakujenga ndio huyo mzugu nae kajengea malizetu baada ya kuiba kingi akatugaia kichache kupita misaadaWaarab wametawala Zanzibar na Pwani kwa miaka karibubl 1,000 na hata maili kumi za pwani Mjerumani aliuziwa na Sultan wa Zanzibar. Walishindwa kijenga shule au vyuo? Bado kuna pockets nyingi za nchi Waarabu walikuwepo kwa mida mrefu kama watawala kabla ya Wazungu kama vile Ujiji, Tabora, na central corridor karibu yote. Hawana cha kujitetea...
Mwarabu hakuiba? Mbona mnamuona Mwarab kama malaika? Kwa hiyo yeye mali alikuwa anatoa kwao analeta hapa nchini?Muarabu hakujenga ndio huyo mzugu nae kajengea malizetu baada ya kuiba kingi akatugaia kichache kupita misaada
Ni kweli lkn alikonipeleka huko alihakikisha anajenga shule, hospitali na kanisa. Sasa kuna yule aliyeniuza kama nyanya sokoni, anitesa na kuua kabisaMwarabu hakupeleka manamba kwa lazima kwenye mashamba ya mikonge,pamba,kahawa,karanga nk,yeye alifuata pembe za ndovu congo
Mwarabu hakuiba? Mbona mnamuona Mwarab kama malaika? Kwa hiyo yeye mali alikuwa anatoa kwao analeta hapa nchini?
Ila mwamba ni muongo sana waarabu vyuo vinatumia mitaala ya wazungu, mfumo wa elimu Dunia kote ni WA wazungu kuanzia primary, secondary, first degree, masters na PhD ni mifumo ya wazungu kwa hiyo acha uongoSasa una elimu ambayo ni ustaarabu wa kimagharibi hamna cha maana...Wao wanajielewa hawakopi ovyo kama nyie wana elimu zao Wana maisha Bomba hata maendeleo makubwa.
We Tanzania one unajiproud na nn ? Zaidi ya kuwa mjinga .
Dunia nzima Afrika ndo tunafuata elimu za wazungu coz bado hatujiwezi nenda Korea, China, Iran Wana mifumo yao tofauti na elimu zao hata kiteknolojia wako juu.
Mfumo wa Irani wa nyuklia walicopy kutoka western, ukienda china wanatumia elimu ya magharibi, biology, physics, mathematics topics almost zote waandishi wake ni western elitesSasa una elimu ambayo ni ustaarabu wa kimagharibi hamna cha maana...Wao wanajielewa hawakopi ovyo kama nyie wana elimu zao Wana maisha Bomba hata maendeleo makubwa.
We Tanzania one unajiproud na nn ? Zaidi ya kuwa mjinga .
Dunia nzima Afrika ndo tunafuata elimu za wazungu coz bado hatujiwezi nenda Korea, China, Iran Wana mifumo yao tofauti na elimu zao hata kiteknolojia wako juu.
Una akili kwamba sisi tunasoma kama Western mbona syllabus yetu na wala international school hazifanani na wale ndo wanafuata mfumo huo.Mfumo wa Irani wa nyuklia walicopy kutoka western, ukienda china wanatumia elimu ya magharibi, biology, physics, mathematics topics almost zote waandishi wake ni western elites
We kama unachukia elimu ya western usipeleke mtoto wako shule, sababu Tanzania elimu inayotumika ni ya western