Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

Salamu mbele!

Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora.

Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo angalau inafanya watu waliokuwa hawamkubali mtangulizi wake tumuone yeye ana nafuu kidogo. Sifa iliyofanya akubalike si tu Tanzania hata na wafadhili huko nje, ajipatie mikopo na misaada kedekede.

Hii kamata kamata ya wakosoaji itamfanya afananishwe na mwendazake na akifika hapo si viatu wala soksi zinamtosha.
Labda mtaa wa kijijini kwenu huko ambao hauna madhara yoyote sababu hamzidi hata 300; mitaa mingine yote ya Tanzania hii Watanzania wapo pamoja sana na mama. Maneno yenu ya uongo na kukatisha tamaa hawayapokei sababu wanaona kwa macho yao anayoyafanya. Kwakuwa hapendi kutamka maneno 'wanyonge' na 'maskini' kila mara basi wale wajinga waliovishwa ujinga huo kwa nguvu kubwa na ambao kwa sasa wamebaki wachache sana ndo hawa wanaokuja kuharahara hapa.
 
Salamu mbele!

Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora.

Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo angalau inafanya watu waliokuwa hawamkubali mtangulizi wake tumuone yeye ana nafuu kidogo. Sifa iliyofanya akubalike si tu Tanzania hata na wafadhili huko nje, ajipatie mikopo na misaada kedekede.

Hii kamata kamata ya wakosoaji itamfanya afananishwe na mwendazake na akifika hapo si viatu wala soksi zinamtosha.
Nyerere alisema Hakuna uhuru usio na mipaka

Na Hakuna haki bila wajibu
 
Wamezunguka nchi nzima kujaribu kupotosha (ingawa wao walidai wanaelimisha) juu ya kuuzwa kwa bandari. Wameona wananchi hawawaelewi yaani wananchi wamewaelewa akina Mwabukusi kuliko akina Bibi na akina mr. MWONGO. Baada ya kushindwa hoja sasa wanajaribu kuwatesa. Kuwafunga na kuwafungulia kesi za uhaini. Kwanza neno lenyewe UHAINI ni gumu mno. Aliyesema anawaunganisha Watanganyika sasa anajaribu kuwabomoa kwa kasi sana. Lakini hataweza maana mara nyingi watu huungana yanapotokea matatizo.
Na uongo wenu huu nao utashindwa kama mlivyoshindwa kwa mingine. Huko mwanza kwenyewe mlikokuwa mndanganya humu kuwa wanawaelewa juzi wamekuumbueni baada ya kuwaonyesha mbele ya macho yenu kuwa anapokosekana Mama Samia Suluhu Hassan huko, The Mother of Modern Tanzania au wasaidizi wake, basi bora wamsikilize Diamond kuliko nyie!!
 
Nyerere alisema Hakuna uhuru usio na mipaka

Na Hakuna haki bila wajibu
Nyerere alisema kuna mambo mazuri na ya hovyo alifanya, anashangaa kuona watu wanayakwepa yale mazuri na kuyaiga yale ya hovyo kama wewe unavyofanya hapa
 
Shangilia ukandamizaji ukidhani unatetea demokrasia
Tena awakazie zaidi maana mtu mweusi Huwa haendi bila mijeredi,hajui matumizi ya Demokrasia na uhuru , Mwendazake alikuwa anawapoteza shukuruni Samia anawapa kesi tuu.
 
Na Bado mtanyooshwa Hadi muongee yote mlikuwa mnaleta dharau na kutumia vibaya uhuru Mliyopewa.
Uhuru nani anautoa wapumbavu endeleeni kumlamba makalio huyo mamayenu mnayefikir ndio mtoa uhuru lakini ni swala la muda tu narudia tena niswala la muda tu nyie wapumbavu mtaelewa wajinga wajinga ndio maana mnabeba wanengua viuno kuzunguka nao mkifikir watawasaidia baada ya kukosa sera.
 
Hongera sana kwa shibe
Hakuna shibe yeyote broo ila upuuzi Huwa sitaki.

Uuze bandari Ili iwaje? Ukiuza Bandari mapato utatoka wapi Sasa?

Soma hapa 👇
 
Tena awakazie zaidi maana mtu mweusi Huwa haendi bila mijeredi,hajui matumizi ya Demokrasia na uhuru , Mwendazake alikuwa anawapoteza shukuruni Samia anawapa kesi tuu.
Atamkazia mamako nyumbani kwenu tofaut na hapo 2025 anatiwa adabu na nyie makuwadi ya warabu mtakimbilia dubai alikohongwa mamayenu, eti mwendazake alikuwa anawapoteza nani ampoteze kama kampen za uchaguz kuzunguka nchi nzima zilimshinda matokeo yake akapora uchaguz kama jambaz na hadi leo hajui hata matokeo ya chato angempoteza nani.
Narudia tena huyo mamayenu mwambieni ajiandae 2025 anatiwa adabu na nyie makuwad mjiandae kukimbilia burundi.
 
Salamu mbele!

Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora.

Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo angalau inafanya watu waliokuwa hawamkubali mtangulizi wake tumuone yeye ana nafuu kidogo. Sifa iliyofanya akubalike si tu Tanzania hata na wafadhili huko nje, ajipatie mikopo na misaada kedekede.

Hii kamata kamata ya wakosoaji itamfanya afananishwe na mwendazake na akifika hapo si viatu wala soksi zinamtosha.
Kwa ujinga wa hawa akina Mwambukusi, na Dkt Mihogo, anachofanya mama ni sawa tu kwa 💯
 
Ndoto za alinacha. Yes, CCM siipendi lakini si kwa mbadala wa CHADEMA
 
Hakuna shibe yeyote broo ila upuuzi Huwa sitaki.

Uuze bandari Ili iwaje? Ukiuza Bandari mapato utatoka wapi Sasa?

Soma hapa 👇
upuuz unaupima wewe, unafikir hii nchi na ya mamako nyumbani kwenu, kama hutaki upuuz kufa vinginevyo huo upuuz utauona na huna cha kufanya tofaut na kuleta comments kama bwabwa limeona basha jipya jf.
 
Ndoto za alinacha. Yes, CCM siipendi lakini si kwa mbadala wa CHADEMA
usifikir kila mtu anajua hicho unachoita ndoto za alinacha, lakini wewe pia sio mtu unayetegemewa na chadema nikiwa na maana kuwa hata ukifa kabisa huna any negative effect kwa chadema na kwamba makuwadi ya warabu koko dpworld nawataka mmwambie mamayenu arudishe pesa alizohongwa vinginevyo zitamtokea puani.
 
Kwa ujinga wa hawa akina Mwambukusi, na Dkt Mihogo, anachofanya mama ni sawa tu kwa 💯
Makuwadi ya warabu koko mtapambana na hamtashinda narudia tena nyie makuwad ya warabu koko mtapambana na hamtashinda, mwambieni mamayenu zile pesa alizohongwa na hao warabu koko azirudishe mbali na hapo zitamtokea puani.
 
Hakuna shibe yeyote broo ila upuuzi Huwa sitaki.

Uuze bandari Ili iwaje? Ukiuza Bandari mapato utatoka wapi Sasa?

Soma hapa 👇
Msuli mkubwa na mitutu inayotumika kutetea mkataba huo ni wazi wanufaika wake ni kikundi kidogo cha watanzania wanaoamua kutumia dola kukandamiza maoni mbadala
 
Salamu mbele!

Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora.

Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo angalau inafanya watu waliokuwa hawamkubali mtangulizi wake tumuone yeye ana nafuu kidogo. Sifa iliyofanya akubalike si tu Tanzania hata na wafadhili huko nje, ajipatie mikopo na misaada kedekede.

Hii kamata kamata ya wakosoaji itamfanya afananishwe na mwendazake na akifika hapo si viatu wala soksi zinamtosha.
La kuvunda halina ubani! wahenga walisema! Mungu ataamua ugomvi!
 
Msuli mkubwa na mitutu inayotumika kutetea mkataba huo ni wazi wanufaika wake ni kikundi kidogo cha watanzania wanaoamua kutumia dola kukandamiza maoni mbadala
Jibu swali Serikali iuze Bandari Ili iwaje? Na ikiuza Kwa hiyo itakuwa haipati mapato au?

Na Je wewe na wengine mnanufaikaje na hii Bandari Kwa Sasa?
 
Back
Top Bottom