Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Angemlilia baba babu yake ingekuwa vizurimama D am waiting for you! I want to take you out today! Umeteseka sana ndani hizi siku 21 ukiomboleza kwa kulia, kugalagala, kujivika nguo za magunia na kushindia malimao na ndimu siku nzima!π
Too early to judge! Miradi aliyokuwa ameanzisha inaweza kukamilika kwa sababu za kisheria, lakini je kutakuwa na miradi mipya ya viwango hivyo tena?Nikiondoka Mimi hizi ndege zitanunuliwa?
Je,nikiondoka Mimi hizi flyover zitajengwa?
Nikiondoka Mimi,hizi barabara zitajengwa?Mbona hapo kabla mambo haya yalikuwa hayafanyiki??
Leo,hayupo Tena lakin mbona Tanzania ipo na itazid kuwepo?
Dunia tunapita,nothing is permanent even the world itself...
Mungu,kaingilia Kati.
Nikiondoka Mimi hizi ndege zitanunuliwa?
Je,nikiondoka Mimi hizi flyover zitajengwa?
Nikiondoka Mimi,hizi barabara zitajengwa?Mbona hapo kabla mambo haya yalikuwa hayafanyiki??
Leo,hayupo Tena lakin mbona Tanzania ipo na itazid kuwepo?
Dunia tunapita,nothing is permanent even the world itself...
Mungu,kaingilia Kati.
Aisee.. Pole sana Kiongozi.Kosa walilolifanya kwangu ni kumleta Magufuli,
KWA sababu ya yeye,ndiyo chanzo Cha kuleta umaskin kwetu wamakonde kwa kutudhulumu korosho zetu na kusababisha mateso yasiyo na kifani,
Tulimkosea nin sisi hadi aje kuharibu kilimo chetu Cha korosho.
Too early to judge! Miradi aliyokuwa ameanzisha inaweza kukamilika kwa sababu za kisheria, lakini je kutakuwa na miradi mipya ya viwango hivyo tena?
Tufafanulie sisi tusiojua linkage ya Jiwe na hao waliopotea, kwa nini huhusishwa na jiwe. Walifanya nini hao majamaa?Jembe lenu na nani? alale alipojiandalia mwenyewe. Nawaombea kulala salama Ben Saaa Nane, Azory Lwanda na wengineo waliodhulumiwa haki ya kuishi na shetani JIWE.
mama D am waiting for you! I want to take you out today! Umeteseka sana ndani hizi siku 21 ukiomboleza kwa kulia, kugalagala, kujivika nguo za magunia na kushindia malimao na ndimu siku nzima!π
Tutachinja ng'ombe kabisa 40
Hiyo ni short sighted view kwani wewe kutoihitaji siyo kuwa taifa lote haliihataji. Miaka minne iliyopita nilikuwa natoka Mwanza kwenda Atlanta, nilitakiwa kutoka mwanza na ndege ya Fastjet, halafu ndege hiyo ya kunitoa Mwanza kwenda Dar ikafuta safari yake ghafla na kunifanya nikose connection yangu ya KLM na kulazimika kulipia $250 zaidi kwenye nauli yangu kutapa flight iliyokuwa inafuata. Mtu kama wewe unaweza huhitaji usafiri wa anga kwa hiyo miradi ya ndege hutaki kuisikia. Vile vile unaweza kuwa unaishi mitaa ambayo hutaweza kupita kwenye daraja na Tanzanite hivyo unadhani huihitaji, lakini inawezekana watu wanaokupatia kipato wanalihitaji daraja hilo. Angalia maslahi ya taifa kwa mapana ndipo ujue maslahi yako binafsi.Ishu ni Je! Miradi hiyo tunaihitaajii!? Ina tija!?over.
Mkuu THE BIG SHOW ...Mwamba KUSINI Karibuni sana......Nikiondoka Mimi hizi ndege zitanunuliwa?
Je,nikiondoka Mimi hizi flyover zitajengwa?
Nikiondoka Mimi,hizi barabara zitajengwa?Mbona hapo kabla mambo haya yalikuwa hayafanyiki??
Leo,hayupo Tena lakin mbona Tanzania ipo na itazid kuwepo?
Dunia tunapita,nothing is permanent even the world itself...
Mungu,kaingilia Kati.
Inaanzia siku iliotangazwa msiba wa Mtupoli 17 sio 18. Usitucheleweshe mkuu, samahani sana.Mmmhhh leo sio siku ya 20? Au Siku 21 kuanzia Tar 17? Haraka ya nini? Si tulikubaliana mitano tena?
18,19,20,21,22,23,24 - Week 01
25,26,27,28,29,30,31 - Week 02
01,02,03,04,05,06,07 - Week 03
Ungeondoka siku moja kabla ukaja kulala Dar hasara isingekuwa kubwa hivyo. Waswahili wanasema " Msafiri ali pwani" unapokuwa na safari muhimu kama sio ya ghafla ni muhimu kuzingatia vitu kama hivyoHiyo ni short sighted view kwani wewe kutoihitaji siyo kuwa taifa lote haliihataji. Miaka minne iliyopita nilikuwa natoka Mwanza kwenda Atlanta, nilitakiwa kutoka mwanza na ndege ya Fastjet, halafu ndege hiyo ya kunitoa Mwanza kwenda Dar ikafuta safari yake ghafla na kunifanya nikose connection yangu ya KLM na kulipia $250 zaidi kwenye nauli yangu kutapa flight iliyokuwa inafuata. Mtu kama wewe unaweza huhitaji usafiri wa anga kwa hiyo miradi ya ndege hutaki kuisikia. Vile vile unaweza kuwa unaishi mitaa ambayo hutaweza kupita kwenye daraja na Tanzanine hivyo unadhani huihitaji, lakini inawezekana watu wanaokupatia kipato wanalihitaji daraja hilo. Angalia maslahi ya taifa kwa mapana ndipo ujue maslahi yako binafsi.
Ubinafsi na choyo ndio vinavyotutesa wabongoHiyo ni short sighted view kwani wewe kutoihitaji siyo kuwa taifa lote haliihataji. Miaka minne iliyopita nilikuwa natoka Mwanza kwenda Atlanta, nilitakiwa kutoka mwanza na ndege ya Fastjet, halafu ndege hiyo ya kunitoa Mwanza kwenda Dar ikafuta safari yake ghafla na kunifanya nikose connection yangu ya KLM na kulipia $250 zaidi kwenye nauli yangu kutapa flight iliyokuwa inafuata. Mtu kama wewe unaweza huhitaji usafiri wa anga kwa hiyo miradi ya ndege hutaki kuisikia. Vile vile unaweza kuwa unaishi mitaa ambayo hutaweza kupita kwenye daraja na Tanzanine hivyo unadhani huihitaji, lakini inawezekana watu wanaokupatia kipato wanalihitaji daraja hilo. Angalia maslahi ya taifa kwa mapana ndipo ujue maslahi yako binafsi.
Kimara wavunjieni nyumba ila watu wa Mwanza msiwavunjie hao ni wapiga kura wangu.Wanyonge wanamshukuru na kumuombea dua kila siku kwa
Serikali imara iliyozuia mgambo wahuni kuwamwagia mitaji yao
Reli zinatumika na wanyonge zaidi
Barabara na madaraja vimejengwa
Shule na mahospitali vimejengwa na kuboreshwa
Elimu bure
Makanisa na misikiti vimejengwa na kuboreshwa
Ametengeneza viongozi imara na wazalendo