Ni siku 21 leo, endelea kulala salama kipenzi chetu Rais John Pombe Joseph Magufuli

Ni siku 21 leo, endelea kulala salama kipenzi chetu Rais John Pombe Joseph Magufuli

Wanyonge wanamshukuru na kumuombea dua kila siku kwa

Serikali imara iliyozuia mgambo wahuni kuwamwagia mitaji yao..
May be wanyonge wa chato,

Watumishi wa umma watamshukuru kwa lipi?miaka sita bila salary incriments,

Wamakonde watamshukuru na kumuombea kwa lipi huku amewadhulum korosho zao,

Labda huko chato,ila sisi wengine Tunashukuru mungu KWA kumpenda zaid
 
Jembe lenu na nani? alale alipojiandalia mwenyewe. Nawaombea kulala salama Ben Saaa Nane, Azory Lwanda na wengineo waliodhulumiwa haki ya kuishi na shetani JIWE.
Wewe mpumbavu nini tena mtu mwenyewe wa kike wewe umejiandalia wapi usituletee siasa za chuki
 
Alale uko alipo kwa matendo gani mema aliyoacha hapa
 
Kimara wavunjieni nyumba ila watu wa Mwanza msiwavunjie hao ni wapiga kura wangu...
Issue ya kimara iko kisiasa sana, na kutokuwajibika kwa viongozi waliokua madarakani..... mwenyewe nina watu wangu wa karibu waliothirika pia sana

Kunaweza kuwa na makosa lakini pia Kuna waliokua wakijua wakauza walionunua wakawa waathirika..... kosa kubwa lilikua kwa uongozi uliotangulia kuendelea kuuza na kuruhusu watu kuuziana na kujenga eneo la barabara
 
May be wanyonge wa chato,

Watumishi wa umma watamshukuru kwa lipi?miaka sita bila salary incriments
Wamakonde wanamlilia maana watoto wao walio mijini alhamdudillah

Ukiona mabaya na mazuri yapo

Na hakuna tiba ya sindano bila maumivu
 
Rest in peace dikiteta magufuli, tutakukumbuka kwa mazuri yako machache, na pia tutakukumbuka kwa mabaya yako mengi!
 
Mmmhhh leo sio siku ya 20? Au Siku 21 kuanzia Tar 17? Haraka ya nini? Si tulikubaliana mitano tena?


18,19,20,21,22,23,24 - Week 01
25,26,27,28,29,30,31 - Week 02
01,02,03,04,05,06,07 - Week 03
Kwa nini umeruka tarehe 17?. Kuomboleza kunaanzia siku aliyofariki
 
Rest in peace dikiteta magufuli, tutakukumbuka kwa mazuri yako machache, na pia tutakukumbuka kwa mabaya yako mengi!

Mtu wa watu, kipenzi cha watanzania, mzalendo, mbeba maono na mtekelezaji

Shujaa wa karne

 
Inaanzia siku iliotangazwa msiba wa Mtupoli 17 sio 18. Usitucheleweshe mkuu, samahani sana.
Imeisha hiyooo.. 🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️
Hahahaha Mama alitangaza msiba tar 17 saa tano huko na nusu nilitarajia ianze tarehe 18.
 
Hotuba ya mama huko inafuta nyayo zote za huyo dhalimu wako. Baki unajibaraguza hapa na kutuletea habari za huyo zama damu wako.

Kumbe hujui siasa wewe😅😅😅😅😅
Poleee
 
Siasa ni kushabikia udhalimu, siasa hiyo siijui kama ndio siasa.

Udhalimu upi?
Kwasababu kwa akili zako kila alichofanya JPM ni kibaya kaa usubirie hapohapo

Hii ndio CCM chama kubwa haina kufeli
 
Back
Top Bottom