THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
May be wanyonge wa chato,Wanyonge wanamshukuru na kumuombea dua kila siku kwa
Serikali imara iliyozuia mgambo wahuni kuwamwagia mitaji yao..
Wewe mpumbavu nini tena mtu mwenyewe wa kike wewe umejiandalia wapi usituletee siasa za chukiJembe lenu na nani? alale alipojiandalia mwenyewe. Nawaombea kulala salama Ben Saaa Nane, Azory Lwanda na wengineo waliodhulumiwa haki ya kuishi na shetani JIWE.
Issue ya kimara iko kisiasa sana, na kutokuwajibika kwa viongozi waliokua madarakani..... mwenyewe nina watu wangu wa karibu waliothirika pia sanaKimara wavunjieni nyumba ila watu wa Mwanza msiwavunjie hao ni wapiga kura wangu...
Wamakonde wanamlilia maana watoto wao walio mijini alhamdudillahMay be wanyonge wa chato,
Watumishi wa umma watamshukuru kwa lipi?miaka sita bila salary incriments
Bila shaka ndio mama DHivi cocochanel uko wapi?
Kipenzi chako..mie wangu SSH.Tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu...
Kwa nini umeruka tarehe 17?. Kuomboleza kunaanzia siku aliyofarikiMmmhhh leo sio siku ya 20? Au Siku 21 kuanzia Tar 17? Haraka ya nini? Si tulikubaliana mitano tena?
18,19,20,21,22,23,24 - Week 01
25,26,27,28,29,30,31 - Week 02
01,02,03,04,05,06,07 - Week 03
Rest in peace dikiteta magufuli, tutakukumbuka kwa mazuri yako machache, na pia tutakukumbuka kwa mabaya yako mengi!
Hahahaha Mama alitangaza msiba tar 17 saa tano huko na nusu nilitarajia ianze tarehe 18.Inaanzia siku iliotangazwa msiba wa Mtupoli 17 sio 18. Usitucheleweshe mkuu, samahani sana.
Imeisha hiyooo.. π€ΈπΎββοΈπ€Έπ½ββοΈπ€ΈπΎββοΈπ€Έπ½ββοΈπ€ΈπΎββοΈπ€Έπ½ββοΈπ€ΈπΎββοΈ
Kwa nini umeruka tarehe 17?. Kuomboleza kunaanzia siku aliyofariki
Siasa ni kushabikia udhalimu, siasa hiyo siijui kama ndio siasa.Kumbe hujui siasa weweπ π π π π
Poleee
Alijikweza mnoKwani Mkuu CCM walikufanya nini kibaya!??
Tokea kutoweka hadi kutangazwa kifo tarehe 17 hajaonekana cocochanel hadi tunajikuta tunamashaka kuwa jee alikuwa ni yeye mwenyewe mwendazake?Hivi cocochanel uko wapi?