Ni siku gani ndugu zetu wana Mbeya nao watajua kujisimamia wenyewe?

Mkuu hapa mbona tunamzungumzia Joseph Mbilinyi 'Sugu' na sio huyo aliekuwa waziri wa fedha.

Hawa japo majina yao yanafanana lkn ni watu wawili tofauti.
Najenga hoja ya kuwa wakina Mbilinyi pia wanaweza tokea Songea..

Kwa issue ya Sugu namfahamu ni jirani yangu pale Sai. Wazazi wake walihamia kutokea Songea. NI WANGONI.
 
Najenga hoja ya kuwa wakina Mbilinyi pia wanaweza tokea Songea..

Kwa issue ya Sugu namfahamu ni jirani yangu pale Sai. Wazazi wake walihamia kutokea Songea. NI WANGONI.
Oh ok mkuu, mimi simfahamu sana mwamba huyu zaidi ya kumsikia kupitia mziki wake enzi hizo na baadae ubunge. Kwahiyo katika hili no comment mkuu.

Shukran kwa ufahamisho wako pia.
 
Unsingiza ukabila kitsifa.
Mbeya imeanza vixuri kwa kuenzi sera za maendelei za CCM.
 

Usituletee mambo ya ukabila hapa! Au unataka kila mkoa uwe na chama chake! Pointless and rubbish post!
 
Usituletee mambo ya ukabila hapa! Au unataka kila mkoa uwe na chama chake! Pointless and rubbish post!
Nyinyi endeleeni kuwa wana harakati, mfungwe, mtiwa vilema na wengine kuuwawa kwa faida ya wajanja wachache waliofanikiwa kuhodhi nafasi za juu na kula matunda mema ya chama.
 

Punguza ukabila. Tangu lini ACT imekuwa chama Cha Kigoma?. Tangu lini Chadema kimekuwa chama Cha Kilimanjaro?. Hivi vyama vina ufuasi mkubwa nchi nzima hasa CHADEMA. Kwa Zanzibar Ni ACT.
 

Watu Kama wewe mna roho mbaya Sana. Mnapenda kugawa watanzania ili muendelee kukaa madarakani.
 

Dr Slaa yupi kaipaisha CHADEMA?. 2015 chadema ilipata wabunge wengi na asilimia arobaini ya kura za urais Dr Slaa alikuwepo? Mpaka jimboni kwake karatu CHADEMA ilishinda ubunge Sasa nguvu yake ilikuwa wapi?.

Aliyeleta mageuzi CHADEMA ni Mbowe kwenye uchaguzi wa 2005. Kampeni zake zilivutia wengi, kwa kutumia chopa na kukusanya vijana wengi kuja CHADEMA. Pia ndie aliyebadilisha bendera ya chama na kuleta vazi la combat kwenye chama. Mbowe kapelekewa Mkuu wa Wilaya wa kumshughulikia , Mbowe kafunguliwa kesi ya ugaidi, Mbowe kabomolewa bilcanas yake, Mbowe alifugiwa akaunti zake zote na pesa kuchukuliwa, Mbowe kafukuzwa kwenye jengo la NHC ambayo ni mali yake nk. Halafu anakuja mtu ansema Mbowe Hana lolote, uwe na adabu.

Tatizo lako unaangalia mambo Kama mtoto mchanga. CHADEMA wamezuiwa kufanya siasa kwa miaka Saba na serikali ya CCM ulitegemea wajieneze kivipi?. Hata uchaguzi wenyewe ukifika figisu nyingi.
 
Watu wa Mbeya siyo wabinafsi kama watu wa Kilimanjaro na ndiyo maana SUGU kutoka kabila Wakinga akapewa Ubunge.

Tanzania ya ukabila hatuitaki Mkuu, kwani Uchaga umeifikisha wapi CHADEMA?

Ndio silaha mliyobakia nayo. Kuchochea ukabila mshindwe kabila. Eti chadema na uchaga, roho za ajabu.
 
Ukute na wewe ni mtu wa Mbeya uliekubali kuwekewa akili yako mfukoni na mwenyekiti ambae hajui hata kijiji unachotoka achilia mbali nyumba au mtaani unaoishi. So sad!!

Furaha yako kila mtu aifuate CCM . Mbona mkoa wa Mbeya wote ni CCM inaongoza kwenye kila ngazi ila bado hujaridhika. Unataka Wana mbeya wafanyeje kwa mfano?
 
Al

ACT ngome yake Pemba sio kigoma.
 
Watu wa Mbeya siyo wabinafsi kama watu wa Kilimanjaro na ndiyo maana SUGU kutoka kabila Wakinga akapewa Ubunge.

Tanzania ya ukabila hatuitaki Mkuu, kwani Uchaga umeifikisha wapi CHADEMA?
Idadi ya Wakinga pale Mbeya mjini ni significant. Sio ajabu kwa mpigiwa kura yeyote kutoka kabila la Wakinga kushinda. Wakinga wamejaa Mbeya kiidadi na kiuchumi.
 
Vyama vya siasa siyo vya kikabila au eneo fulani la nchi, ni vya kitaifa.
Kinachotakiwa ni malengo na sera za kuunganisha wananchi wote. Ujinga wa kuwaza kikabila na maeneo bila utaifa hautakiwi kupewa nafasi zama hizi. Hayo ni mawazo ya kijima.
 
Vipi kuhusu...
Tanga Mara Manyara Mwanza Kagera Dodoma Morogoro Singida Iringa Songea na kadhalika?
Pumbavu!
 
Wabunge wa 2015 aliyewaleta ni Lowassa we mdumavu wa akili. Mbowe 2005 alileta impact ipi. Watanzania wenye akili wanajua aliyepaaisha CHADEMA ni Dr. Wilbroad Slaa, hata ule uchaguzi wa 2015 Dr. Slaa alijiondoa muda mfupi tu kabla ya uchaguzi aliacha chama imara sana. Alijiondoa kwasababu Dr. Slaa ni mtu wa principles huwezi kumburuza na watu wa aina yake ni wachache sana hata Tundu Lissu hana principles yoyote anaangalia maslahi siyo Doctor
 
Chama kilichanzishwa na mchaga ni kimoja tu CHADEMA tena akishirikiana na msukuma wa Shinyanga Bpb Makani. NCCR-MAGEUZI na TLP vilianzishwa na watu wa makabila mengine. We nafikiri ni wale wachaga waliosomea shule ya kata umedanganywa na wachaga wenzako wakabila, mbona wamesahau kukueleza kuwa vyama vyote vinavyoongozwa na wachaga viko mahututi. Wachaga hawana sifa ya uongozi wanachoweza ni kuiibia taasisi anayoiongoza na kuifanya mali yake binafsi. Mtu kama Mbowe unaweza kusema kweli ni kiongozi? Bchi hii unasimamiwa na mfumo makini sana hawawezi kumuachia nchi kwa muhuni kama Mbowe. Angalia CHADEMA amekifanya chama chake binafsi hana mpango wa kuachia uenyekiti, eti chama cha demokrasia. Vijana wa CHADEMA hawajui hata maana ya demokrasia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…