Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

Sijawahi piga demu wa kwenye social media, yaani sitaki blind dates, nikuone live live ndiyo tunalianzisha
 
Ivi kuvuta bangi ukiwa chooni nayo ni siri???? Kama in siri basis nawaombeni mnitunzie hii siri maana mwenzenu huwa navutia choon na hakuna MTU anaejua isipokuwa nyie
 
-Sipendi kuelezea mipango yangu ya maendeleo kwa mtu
- sipendi kumsimulia mtu mwanamke gani nadate nae
 
Back
Top Bottom