Ni situation gani ilikufanya utambue kuwa lazima utafute pesa hata iweje?

Mkuu vp kule kwa wife wetu hakuna mrejesho wowote?
 
Sijajipata ila sasa hivi sina shida ndogondogo. Najilipia kila kitu bila msaada wa mtu and am living a very comfortable life na kwasaidia wengine pia
Then keep that fire burning brother. Kuna ile level unaitamani unajiona kabisa hapa nikilegeza sitaifikia. Muhimu kuendelea tu
 
Mkuu vp kule kwa wife wetu hakuna mrejesho wowote?
Ahahahahahah..
Dah umenichekesha sana mkuu.
We tulia kwanza.
Mrejesho utakuja tu. Kwasasa nashuhudia mapicha picha ambayo sipendi kuyapa maana sana najaribu kuyaelewa ili nisilete mrejesho wa hisia zangu tu bali uhalisia
 
Ahahahahahah..
Dah umenichekesha sana mkuu.
We tulia kwanza.
Mrejesho utakuja tu. Kwasasa nashuhudia mapicha picha ambayo sipendi kuyapa maana sana najaribu kuyaelewa ili nisilete mrejesho wa hisia zangu tu bali uhalisia
Ulinipa funzo kubwa sana boss wangu. Kukubali jambo litokee ni bora zaidi kuliko kukataa jambo kutokea
 
Siku nilivyoambiwa kuwa nikimaliza chuo kikuu natakiwa niende VETA nikajifunze kushona na useremala
 
Basi nililokua nasafiria liliharibika njiani, ikabidi abiria watafute usafiri mbadala. Na hapo pesa Sina mfukoni zote nililipa nauli na kidogo iliobaki nikapata mlo mdogo.
Hapo ndio michango ya umasikini ikaanza kuunguruma.
Namshukuru mwenyezi Mungu Leo sipo kwenye Hali hiyo Nina maisha mazuri.
 
Nikafika kwa baba mdogo na list yangu viligharimu kama elfu 30. Nikaambiwa nideki, nifue na kuosha vyombo kwanza ndo anipatie hela. Nilivyomaliza hizo kazi akanipa elfu ishirini akaniambia nyingine nikajitafutie.

PONNGEZI KWA DINGI MDOGO 💪
 
Kamfunza kwa KUMPULIZIA roho ya hakuna cha bure duniani.
 
Siku nimefika kununua Private jet Boeing 757 nikiwa na 150M USD Cash nikaambiwa niongeze 100,000 USD nilijiona masikini sana.
Hivi Kiduku Lilo Aliendaga Wapi.?
Ndiyo Swagga Zake Hizi..
 
Upo sahihi kuwa fursa. Ila dingi mdogo hapo lengo lake lilikuwa kumkataa mazima (dogo akiwaza hapa kwa mzee kunifanyia hivi,sitokuja tena). Lengo likatimia kuwa dogo makusudi tena,pia kafunzwa kujitafutia kwa jasho.
NEGATIVITY INTO POSITIVITY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…