Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Hii TV niliyonayo ni Sumsung HD inch 32, nilinunuwa laki saba wakati ndio zinatoka, imeshawahi kupigwa chini kwenye domestic violence lakini iko vilevile na Ina miaka zaidi ya 10, je Sumsung bado watakuwa na bidhaa imara kiasi hiki kwa miaka hii?
Hapo kwako wanajua kupiga chini TV kweli
 
Si sawa, kwenye TV cha muhimu ni ubora wa kioo. Sio sawa kabisa na simu. Simu ina mambo mengi maCPU, maGPU huko na makolokolo kibao.
Turudi kwenye TV sio simu hizo Samsung ni nzuri lakini ni overpriced. Ukinunua Samsung ya milioni 1 unachomzidi mwenye Hisense ya laki sita ni jina la brand tu yaani laki nne yote unakuwa umelipia brand na laki sita ndio actual value ya product
Nini tofauti kati ya Google TV na Android TV?.
 
Sasa wewe unaonaje umiliki techno macho matatu,

Au iPhone macho matatu?

Zote zina kitu kile kile sio?

Ubora wa kitu sio muonekano Bali ni spare zilizotumika mle.

Samsung hata fridge zake ni balaa, tuache kujifariji na brand zingine.

LG Electonics ndy Mshindani wa Samsung kwa sasa.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Kama pesa ipo TV ni Sony na LG. LG kuna Nanocell , Oled na oled Evo. bei zake ni hatari sana.

Kama hela ni ya mawazo go for Nanocell ya 2022 55" nadhani haizidi 2m

Samsung sio mbaya zipo okey hakikisha unachukua kuanzia Series 8.

Hisense ni takataka ya kichuna yenye jina kubwa.

Hizi zipo za aina mbili kuna za South afrika na China.

South afrika - boksi la kaki

China - Boksi jeupe

Go for chines.

Kwa ubora wa picha pia TCL sio wabaya sema nazo zinachakakachuliwa siku hizi
 
kama pesa ipo TV ni Sony na LG. LG kuna Nanocell , Oled na oled Evo. bei zake ni hatari sana.

kama hela ni ya mawazo go for Nanocell ya 2022 55" nadhani haizidi 2m

Samsung sio mbaya zipo okey hakikisha unachukua kuanzia Series 8.

Hisense ni takataka ya kichuna yenye jina kubwa.

hizi zipo za aina mbili kuna za South afrika na China.

South afrika - boksi la kaki
china - Boksi jeupe

Go for chines.

kwa ubora wa picha pia TCL sio wabaya sema nazo zinachakakachuliwa siku hizi
Mbona Hisense wengi wameisifu wewe umeitowa maana kabisa?
 
Sasa wewe unaonaje umiliki techno macho matatu ,
Au iPhone macho matatu?

Zote zina kitu kile kile sio?

Ubora wa kitu Sio muonekano Bali ni spare zilizotumika mle.

Samsung hata fridge zake ni balaa,,tuache kujifariji na brand zingine.

LG Electonics ndy Mashindani wa Samsung kwa sasa.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Sijakataa lakini kwa laki sita hadi saba Hisense hana mpinzani[emoji38][emoji38]
Message Sent
 
Nini tofauti kati ya Google TV na Android TV?.
Google TV na Android TV, zote hizi zipo developed na Google ili zitumike kwenye smart TV. Google TV sio Android TV. Android TV inatumia Android operating system, Google TV zinatumia Chrome operating system ambayo ni Chrome tu lakini yenyewe inaoperate juu ya Linux OS.
 
Hii TV niliyonayo ni Sumsung HD inch 32, nilinunuwa laki saba wakati ndio zinatoka, imeshawahi kupigwa chini kwenye domestic violence lakini iko vilevile na Ina miaka zaidi ya 10, je Sumsung bado watakuwa na bidhaa imara kiasi hiki kwa miaka hii?
Ziko vile vile mkuu.

Samsung
LG
Sony
Hizo brand ni value for money.
 
Hapa Bongo kwa Tsh 650,000/= unapata Hisense yenye inchi 43, smart kabisa na ni 4K resolution, umeshamaliza kazi. Sasa wewe huoni hiyo Samsung umenunua kwa laki saba halafu ni 32 inches tu. Ukkikutana na muuzaji mwenye tamaa sana hiyo Hisense unapata kwa laki saba. Kupata Samsung au LG yenye ubora sawa na Hisense hii inakupasa uwe na milioni moja kupanda
Ni kwa sababu moja tu mkuu, value for money.

Hisense ni budget tv brand, inakuonjesha ubora kidogo kwa bei ya chini kidogo.

Hata hivyo Hisense sio brand bora ya kuchina, kuna TCL sijui TLC hii ndio kidogo kujaribu kuwakaribia Samsung ama LG.

Ukitaka tv ya bei ndogo na ubora wa kawaida nenda tu Hisense.

Samsung Galaxy S22 ina uwezo wa kurekodi 8k, hii ni milioni 2-3, Tecno ina uwezo wa kurekodi 8k, hii ni laki 5-7. Kwa kua zote zinaweza kurekodi video za 8k haina maana kwamba zinalingana.

Vits ni gari sasa sawa na LC 300, kwamba zote zinatembea barabarani kama gari ila kuna tofauti kubwa sana kati ya vits na V8.
 
Back
Top Bottom