The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Ubora wa kioo upi?Si sawa, kwenye TV cha muhimu ni ubora wa kioo. Sio sawa kabisa na simu. Simu ina mambo mengi maCPU, maGPU huko na makolokolo kibao.
Turudi kwenye TV sio simu hizo Samsung ni nzuri lakini ni overpriced. Ukinunua Samsung ya milioni 1 unachomzidi mwenye Hisense ya laki sita ni jina la brand tu yaani laki nne yote unakuwa umelipia brand na laki sita ndio actual value ya product
Kwani hata kwenye simu si bora unaweza kupiga na kuongea na kutuma meseji na kuchat WhatsApp nk, kuna la ziada? Sasa kama tecno na Samsung wanafanya hivyo vyote tofauti iko wapi?
Ukielewa hoja yangu hapo juu hope hutarudia kutoa hoja za hovyo tena.