Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Kwa mujibu wa GOOGLE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimuuliza bajeti yake hakusema hivyo watu wameamua wampe Kwa ujumlaHumu naona watu wana bwabwaja tu wala hawatoi jibu la kueleweka. Hawa TV manufacturers wote wana TV za level mbali mbali kwa budget mbali mbali. Mfano LG zipo za kawaida, nanocell, QNED,OLED etc! sasa wewe unapomwambia mtu nunua LG/samsung/Sony/Hisense ndio bora! Ni LG ipi? na ni bora kuliko hisense ipi? Maana hisense wana za kawaida, ULED (QLED/ Mini LED) etc! Mshauri mtu kwa specific model kutokana na budget yake lakini si kulinganisha the whole brand
Mkuu unajua kidogo kuhusu phillips.kama pesa ipo TV ni Sony na LG. LG kuna Nanocell , Oled na oled Evo. bei zake ni hatari sana.
kama hela ni ya mawazo go for Nanocell ya 2022 55" nadhani haizidi 2m
Samsung sio mbaya zipo okey hakikisha unachukua kuanzia Series 8.
Hisense ni takataka ya kichuna yenye jina kubwa.
hizi zipo za aina mbili kuna za South afrika na China.
South afrika - boksi la kaki
china - Boksi jeupe
Go for chines.
kwa ubora wa picha pia TCL sio wabaya sema nazo zinachakakachuliwa siku hizi
Samsung TV fake zipo sanaSamsung zote ni OG mkuu, hao wanunua Sinsung sio Samsung.
Pili wananunua tv kwa fundi tv sio Dukani. Uliwahi kuona wapi Samsung tv inauzwa laki 2 ama laki 3. Wanapenda vya dezo halfu wanakuja kulaumu brand badala ya kujilaumu wenyewe.
Vipi kuhusu phillips.Kwa maoni yangu,
Tv zenye ubora kuanzia quality ya picha,software&hardware
1. Sony
2. LG
3. Skyworth
4. Samsung (ubahatishe OG& latest series)
5. HISENSE
6. TCL
Afu yatafata makampuni mengine ,
ya kawaida
Na huu ndio ukweli mtupu.Hii ni only for genius , wajinga wa Samsung hawawez kuelewa , Samsung zinazouzwa Africa ni Sawa Sawa na toleo Lao la smu za Aseries yaani ni Ujinga mtupu unless ubahatishe zinazokuwa shipped to Europe
Kwenye simu kuna mambo mengi sana ya ziada na siyo kupiga na kupokea kama unavyodhani wewe😆😆. Kingine sijasema kuwa Hisense ni Bora kuliko Samsung au LG Kila mtu anajua hawa wakorea wapo vizuri kwenye hii sekta. Mimi maelezo yangu yamebase kwenye bei ya laki sita sio brand. Hizo Samsung ni nzuri sana kinachofanya iwe nzuri ni hizo TV zake za mamilioni sio za laki sita. Hamna mtu ananunua brand Mimi naongelea TV wewe unaongelea brand. Angalia utofauti wa mazungumzo yetuUbora wa kioo upi?
Kwani hata kwenye simu si bora unaweza kupiga na kuongea na kutuma meseji na kuchat WhatsApp nk, kuna la ziada? Sasa kama tecno na Samsung wanafanya hivyo vyote tofauti iko wapi?
Ukielewa hoja yangu hapo juu hope hutarudia kutoa hoja za hovyo tena.
Lg wanatabia hiyo hata kwny simu[emoji91][emoji91] niliipenda sana ile simu ila vioo vyake msalaHii magic remote INA maajabu gani?
Mkuu haina haja ya kuzunguka mbuyu, kusema kitu ni famba sio kukizarau ni uhalisia wake.Kwenye simu kuna mambo mengi sana ya ziada na siyo kupiga na kupokea kama unavyodhani wewe😆😆. Kingine sijasema kuwa Hisense ni Bora kuliko Samsung au LG Kila mtu anajua hawa wakorea wapo vizuri kwenye hii sekta. Mimi maelezo yangu yamebase kwenye bei ya laki sita sio brand. Hizo Samsung ni nzuri sana kinachofanya iwe nzuri ni hizo TV zake za mamilioni sio za laki sita. Hamna mtu ananunua brand Mimi naongelea TV wewe unaongelea brand. Angalia utofauti wa mazungumzo yetu
Kiukweli sijawahi kusikia vitu kama hivi. Kama ipo basi ndio ndio nasikia hapa.Samsung TV fake zipo sana
Wewe kubali hujuiKiukweli sijawahi kusikia vitu kama hivi. Kama ipo basi ndio ndio nasikia hapa.
Ofisi zetu nchi nzima zinatumia Samsung miaka na miaka sijawahi kuona ama kusikia tatizo lolote. Ama vile tunanunua kwa authorized dealers.
Unanunua na unapewa warrant card kabisa na bado ni fake?
kuna watu huwa tunaishi ilimradi sana, imagine haipo hata kwenye hizo zote. JVC na maisha ni sawa tu🙌🙌Kwa mujibu wa GOOGLE
View attachment 2488406
Aisee wewe ni mshamba kweliSamsung zote ni OG mkuu, hao wanunua Sinsung sio Samsung.
Pili wananunua tv kwa fundi tv sio Dukani. Uliwahi kuona wapi Samsung tv inauzwa laki 2 ama laki 3. Wanapenda vya dezo halfu wanakuja kulaumu brand badala ya kujilaumu wenyewe.
Cheki mshamba mwingine huyuChief hujakutana na Samsung wewe. Achana na hizi Samsung za kichiba zinazouzwa 1.8M Kwa inch 65 vuta kitu Cha 7M ndio utaelewa
Haha wenye aborder tupokuna watu huwa tunaishi ilimradi sana, imagine haipo hata kwenye hizo zote. JVC na maisha ni sawa tu🙌🙌
Mshamba mwingine huyuNina Samsung LED ya South Africa tangu 2013 hadi Leo,
Haina shida yeyote..inapiga mzigo.
Kwangu Mimi Samsung ndy brand yangu
Kuanzia fridge, Home theatre,tv
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Nimeupata mkuuNi kwa sababu moja tu mkuu, value for money.
Hisense ni budget tv brand, inakuonjesha ubora kidogo kwa bei ya chini kidogo.
Hata hivyo Hisense sio brand bora ya kuchina, kuna TCL sijui TLC hii ndio kidogo kujaribu kuwakaribia Samsung ama LG.
Ukitaka tv ya bei ndogo na ubora wa kawaida nenda tu Hisense.
Samsung Galaxy S22 ina uwezo wa kurekodi 8k, hii ni milioni 2-3, Tecno ina uwezo wa kurekodi 8k, hii ni laki 5-7. Kwa kua zote zinaweza kurekodi video za 8k haina maana kwamba zinalingana.
Vits ni gari sasa sawa na LC 300, kwamba zote zinatembea barabarani kama gari ila kuna tofauti kubwa sana kati ya vits na V8.
Nimekupata mkuu. Lakini hakuna TECNO inarekodi 8K simu zao za laki tano hadi nane zinarekodi 1080p na hii Phantom X2 Pro ndio simu yao bora kwa sasa na inarekodi 4K tu. Ila point yako uliyokuwa unajaribu kuiongelea nimeielewa ingawa kwa laki sita Hisense na Samsung huwezi fananisha.Ni kwa sababu moja tu mkuu, value for money.
Hisense ni budget tv brand, inakuonjesha ubora kidogo kwa bei ya chini kidogo.
Hata hivyo Hisense sio brand bora ya kuchina, kuna TCL sijui TLC hii ndio kidogo kujaribu kuwakaribia Samsung ama LG.
Ukitaka tv ya bei ndogo na ubora wa kawaida nenda tu Hisense.
Samsung Galaxy S22 ina uwezo wa kurekodi 8k, hii ni milioni 2-3, Tecno ina uwezo wa kurekodi 8k, hii ni laki 5-7. Kwa kua zote zinaweza kurekodi video za 8k haina maana kwamba zinalingana.
Vits ni gari sasa sawa na LC 300, kwamba zote zinatembea barabarani kama gari ila kuna tofauti kubwa sana kati ya vits na V8.