HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
ThibitishaOverpriced products
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThibitishaOverpriced products
Rudi post namba #10 nimetetea hoja yangu paleThibitisha
Hiyo LG 4K unayoiongelea shilingi ngapiKwa kuongezea bila kumpigia mtu chapuo.Kwa miaka mingi nimekua ninanunua tv used toka Uk kwa bwana Abdulwahid na bei zake ni nzuri last time nilikua na hii Phillips nikauza na nikawa na sharp sema domestiv violence imefanya iende na maji . USHAURI OMBA UTUMIWE MODEL no kisha soma reviews na uendlee na maisha .Now ninafanya saving nidake lg 4k toleo lolote kati ya mwaka 2018 mpaka now .Ngoja niupload picha ya jiwe la phillips na model ya lg nayotaka kuidaka
Hata Samsung za laki sita zenye 4K nazo zinatumia vioo vya OLED?TV bora ni kioo bora ie Oled, Qled
Hisense na TV nyingi za kichina ni led tu
Hiyo LG 4K unayoiongelea shilingi ngapi
Nipe review zake kwanza .Mie uwezo wa kununua tv ya 2m sina hivo naangalia mtumba wenye quality uzuri najua kushirikisha magwiji kama kina Chief-Mkwawa wakisema pita humo napita na life linasongaHata Samsung za laki sita zenye 4K nazo zinatumia vioo vya OLED?
Reuben Challe angalia comment yangu ya mwishoHiyo LG 4K unayoiongelea shilingi ngapi
Hisense pia hazina sound card nzuriTV bora ni kioo bora ie Oled, Qled
Hisense na TV nyingi za kichina ni led tu
Mwenyewe hilo ni swali tu nimemuuliza nataka nijue kama hizo Samsung zenye OLED screen zinauzwa kwa laki sitaNipe review zake kwanza .Mie uwezo wa kununua tv ya 2m sina hivo naangalia mtumba wenye quality uzuri najua kushirikisha magwiji kama kina Chief-Mkwawa wakisema pita humo napita na life linasonga
Ulishatumia hisense ipi wewe? Maana kama ni OLED na QLED pia hisense wanazo. Sasa kwa kuwa wewe umekariri kutumia hisense za entry level unakuja kuziponda. Tafuta hela hisense pia wana oledHisense pia hazina sound card nzuri
Hakuna TV ya OLED inauzwa 650k,hata kama ni usedMwenyewe hilo ni swali tu nimemuuliza nataka nijue kama hizo Samsung zenye OLED screen zinauzwa kwa laki sita
Maana ninajua tu kwa 650,000/= Hisense unapata Bora kuliko Samsung. Ili uenjoy mema ya Samsung mfuko nao inabidi unyooke
Labda tumuite CHIEF MKWAWA aje kutoa muongozo
Hii ni fake
Kampuni zote mkuu inabidi uwe makini hata hisense ana vimeo vya kutosha tu.Mwenyewe hilo ni swali tu nimemuuliza nataka nijue kama hizo Samsung zenye OLED screen zinauzwa kwa laki sita
Maana ninajua tu kwa 650,000/= Hisense unapata Bora kuliko Samsung. Ili uenjoy mema ya Samsung mfuko nao inabidi unyooke
Labda tumuite CHIEF MKWAWA aje kutoa muongozo
Kwa maelezo yako hio model nilioweka apo Chief-Mkwawa imesimamia grupu lipi na kama mpya ingeuzwa vipiKampuni zote mkuu inabidi uwe makini hata hisense ana vimeo vya kutosha tu.
Samsung TV zake za bei rahisi vioo vinatoka BOE (Mchina) hivyo unaweza nunua na ikawa na display mbaya vile vile.
Ila ikiwa Qled ama Oled uhakika huo sio mchina na hupati laki 6.
Nano tv ama hizi Qled nyingi ni kuanzia 1m kupanda, na Oled ni 3m kupanda.
Pia LED inategemea ikiwa na mwanga wa kutosha na standard nzuri kama Hdr10 inaweza kuwa nzuri pia ika compete na hizo Qled na Nano.
Asante kwa muongozoKampuni zote mkuu inabidi uwe makini hata hisense ana vimeo vya kutosha tu.
Samsung TV zake za bei rahisi vioo vinatoka BOE (Mchina) hivyo unaweza nunua na ikawa na display mbaya vile vile.
Ila ikiwa Qled ama Oled uhakika huo sio mchina na hupati laki 6.
Nano tv ama hizi Qled nyingi ni kuanzia 1m kupanda, na Oled ni 3m kupanda.
Pia LED inategemea ikiwa na mwanga wa kutosha na standard nzuri kama Hdr10 inaweza kuwa nzuri pia ika compete na hizo Qled na Nano.
Mpya ndo hio around 1m mpaka 2m sababu si oled, panel yake ni VA,Kwa maelezo yako hio model nilioweka apo Chief-Mkwawa imesimamia grupu lipi na kama mpya ingeuzwa vipi
Sijawahi tumia hisense yoyote , nyingi nilizoziona hata hizo oled zina mapungufu kadhaa hazikidhi mahitaji yangu. .ninapoamua kununua electronics devices ,huwa naangalia features sio jina , as iam very tech hungry!! Kwa miaka kadhaa lg yupo juu ya majina mengi kwa upande wa Tv zinazokuja africa.Ulishatumia hisense ipi wewe? Maana kama ni OLED na QLED pia hisense wanazo. Sasa kwa kuwa wewe umekariri kutumia hisense za entry level unakuja kuziponda. Tafuta hela
Hisense oled umetumia wapi? Duka lipi dar wana hisense oled? Magic remote? Yaani ninunue tv sababu ya remote? Hayo mapungufu yataje hapa si kupiga kelele tu.Sijawahi tumia hisense yoyote , nyingi nilizoziona hata hizo oled zina mapungufu kadhaa hazikidhi mahitaji yangu. .ninapoamua kununua electronics devices ,huwa naangalia features sio jina , as iam very tech hungry!! Kwa miaka kadhaa lg yupo juu ya majina mengi kwa upande wa Tv zinazokuja africa.
Nimetoa mfano wa magic remote ambayo kwa sasa anayo lg peke yake , kuna thinQ lg android app amabyo umaweza kutumia simu yako kama magic remote ,
Kwenye electronics hisence ni taka taka , unless uwe hujui unatafuta nini na ndio sababu huwa zipo cheap.kuanzia tv fridge, ac, hadi washers .
Nitafute hela???? Hela unazo weye unayenunua midosho!