Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kama sio kuwashwa elezea Usha, VA wangu uko wapi?Cheki mshamba mwingine huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio kuwashwa elezea Usha, VA wangu uko wapi?Cheki mshamba mwingine huyu
Ndugu hatuzungumzii wapi pa kununua tunazungumzia brand kama brand.Kiukweli sijawahi kusikia vitu kama hivi. Kama ipo basi ndio ndio nasikia hapa.
Ofisi zetu nchi nzima zinatumia Samsung miaka na miaka sijawahi kuona ama kusikia tatizo lolote. Ama vile tunanunua kwa authorized dealers.
Unanunua na unapewa warrant card kabisa na bado ni fake?
I buy things from authorized sources, hayo mengine hata nisipoyajua hata kama yapo hayana maana kwenye maisha yangu maana hayaniongezei chochote.Wewe kubali hujui
Counterfeits products hazijawahi kupotea Duniani na hazitapotea, ni wewe kujua ni namna gani usiuziwe counterfeits products. Tatizo la kwanza liko kwa wanunuzi na sio brand, ukitaka uuziwe fake brand ni wewe mwenyewe.Ndugu hatuzungumzii wapi pa kununua tunazungumzia brand kama brand.
Na kama una Hela ndio uende huko Samsung za mamilioni, LG, Sony etc.Kama huna hela achana na Samsung na LG, nenda kwa Hisense, Baroda, sijui brandi gani.
Sasa ulivokua unabwatuka eti Samsung hakunaga fake products ulikua unawashwa na damu ya hedhi ama?Counterfeits products hazijawahi kupotea Duniani na hazitapotea, ni wewe kujua ni namna gani usiuziwe counterfeits products. Tatizo la kwanza liko kwa wanunuzi na sio brand, ukitaka uuziwe fake brand ni wewe mwenyewe.
Tafta mume, mke wangu ni mkali sana akijua unanilazimisha nikushikishe ukuta atakuua. Tafta mume wako mwenyewe achana na waume wa watu mtoto mzuriSasa ulivokua unabwatuka eti Samsung hakunaga fake products ulikua unawashwa na damu ya hedhi ama?
We jamaa Xiaomi naye anazo simu expensive. Watu wengi wanaojaribu kuelezea hii mada kupitia reference ya simu naona wanaboronga. Hata Samsung ana A series ambazo ni simu za chini na kati ndio kama hizo TV zao za laki sita. Kama bajeti ni laki sita na nusu nunua HisenseNi bajeti yako tu mkuu
Wale wachovu wenzangu wanakwenda na Boss, StarX
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu wa Tecno, Itel, infinix
Wale wa uchumi wa kati wanakwenda na Hisense, TLC
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu za Oppo Xiaomi nk
Wale wanaojiweza wanakwenda na Sony LG Samsung Apple Tv
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu za Samsung iPhone nk
Kwahiyo sasa umekubali kuwa zipo?Counterfeits products hazijawahi kupotea Duniani na hazitapotea, ni wewe kujua ni namna gani usiuziwe counterfeits products. Tatizo la kwanza liko kwa wanunuzi na sio brand, ukitaka uuziwe fake brand ni wewe mwenyewe.
Ungesema tu zina"miss behave" ungelieleweka zaidi kwa wataalamu.Jamani msaada, wadau flat yangu na king'amuzi Cha DStv vimekuwa na tabia ya kujibonyeza (hata usiposhika rimoti) Na ukisema ushike mda mwingine inajibonyeza hovyo hovyo Nafaka Accumen Mo Unavoidable Servant Reuben Challe
Mbona sijaona popote mkitaja Sahara?Kwa maoni yangu,
Tv zenye ubora kuanzia quality ya picha, software & hardware
1. Sony
2. LG
3. Skyworth
4. Samsung (ubahatishe OG & latest series)
5. HISENSE
6. TCL
Halafu yatafata makampuni mengine ,
ya kawaida
Nifanyaje Sasa Mkuu, maana inasumbua kweliUngesema tu zina"miss behave" ungelieleweka zaidi kwa wataalamu.
Kuanzia tv inajibonyeza tu, au inakuwa inawasha kile kitaa chakeInafanyaje inabdilisha channels au vipi?
So ipi ni bora hapo?.Google TV na Android TV, zote hizi zipo developed na Google ili zitumike kwenye smart TV. Google TV sio Android TV. Android TV inatumia Android operating system, Google TV zinatumia Chrome operating system ambayo ni Chrome tu lakini yenyewe inaoperate juu ya Linux OS.
Google TV ndio bora kwa sababu inaoffer features nyingi nzuri kuliko Android TV. Pia kwenye Google TV unaweza Usearch content kirahisi across the web wakati Android TV inakulimit kusearch kwenye installed apps. Kingine Google TV zipo well optimized na mara nyingi ni cheaper than Android TVSo ipi ni bora hapo?.
Nikukumbushe tu now dayz xiaomi yupo kati ya namba tatu au nne hapo na bwana sharp org usimsahau kabisaWadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo.
Nina Sumsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana.
Sasa nimeokota pochi la mzungu nataka ninunuwe TV ya kweli nirudi kwenye modern life.
Karibuni kwa ushauri.
Xiaomi anazo hadi transparent TV niliziona AliExpress zinauzwa milioni 22, sasa sijui zipo kweli au ndio nimepelekwa chaka[emoji38][emoji38] Lakini huyu jamaa (Xiaomi) kwenye bei za vitu vyake kama laptops na TV naona bei zimechangamka[emoji28][emoji28] tofauti ilivyo kwa simu zakeNikukumbushe tu now dayz xiaomi yupo kati ya namba tatu au nne hapo na bwana sharp org usimsahau kabisa