Sijawahi tumia hisense yoyote , nyingi nilizoziona hata hizo oled zina mapungufu kadhaa hazikidhi mahitaji yangu. .ninapoamua kununua electronics devices ,huwa naangalia features sio jina , as iam very tech hungry!! Kwa miaka kadhaa lg yupo juu ya majina mengi kwa upande wa Tv zinazokuja africa.
Nimetoa mfano wa magic remote ambayo kwa sasa anayo lg peke yake , kuna thinQ lg android app amabyo umaweza kutumia simu yako kama magic remote ,
Kwenye electronics hisence ni taka taka , unless uwe hujui unatafuta nini na ndio sababu huwa zipo cheap.kuanzia tv fridge, ac, hadi washers .
Nitafute hela???? Hela unazo weye unayenunua midosho!