jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Song bravia ni hatari lakini iwe from Japan na siyo china, Singapore, IndiaSio kwa sasa tu kwa kila wakati ni Lg Na Samsung tu
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Song bravia ni hatari lakini iwe from Japan na siyo china, Singapore, IndiaSio kwa sasa tu kwa kila wakati ni Lg Na Samsung tu
Nmekupata unachomaanisha wana sum up statistics za website zilizoandika sio kama ni hivyo nimekupata mkuuGoogle now kuna baadhi ya search ukitafuta inafanya kazi kama AI Open(chatgpt)hawakuletei Web iliyoandika,wanaleta data ambazo zipo rated Web nyingi....
Lakini kuna baadhi ya Tv zina mambo mengi kama simu tu, lakini mpaka upate smart tv zinazo tumika ulaya kwasababu Smart TV za Dunia ya kwanza zina mambo mengi kuliko smart tv za kariakoo au zinazo letwa nchini.Si sawa, kwenye TV cha muhimu ni ubora wa kioo. Sio sawa kabisa na simu. Simu ina mambo mengi maCPU, maGPU huko na makolokolo kibao.
Turudi kwenye TV sio simu hizo Samsung ni nzuri lakini ni overpriced. Ukinunua Samsung ya milioni 1 unachomzidi mwenye Hisense ya laki sita ni jina la brand tu yaani laki nne yote unakuwa umelipia brand na laki sita ndio actual value ya product
Yes brother...Nmekupata unachomaanisha wana sum up statistics za website zilizoandika sio kama ni hivyo nimekupata mkuu
Kwa ufahamu wangu Google TV na Android TV ni kitu kimoja atleast kwa miaka ya karibuni.Mkuu Chief-Mkwawa Ufafanuz kidogo hapa. Ni ipi nzuri kati ya Google Tv vs Android Tv based on their x-sticks
Hata Ulaya Zipo smart za kutosha tu zisizo na mambo mengi.Lakini kuna baadhi ya Tv zina mambo mengi kama simu tu, lakini mpaka upate smart tv zinazo tumika ulaya kwasababu Smart TV za Dunia ya kwanza zina mambo mengi kuliko smart tv za kariakoo au zinazo letwa nchini.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kweli Sony wapo vizuri , Sharp nao wapo vizurTop brand ni SONY nlinunua android 4k TV 55 ni 1.8m lakini utapata value for money.
Next time funga tracker kama ni tv yenyewe kubwa na ni top brand.Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo.
Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana.
Sasa nimeokota pochi la mzungu nataka ninunue TV ya kweli nirudi kwenye modern life.
Karibuni kwa ushauri.
Kama hujui features bora ukae kimya tu, , kioo cha amoled kinagharimu mara tatu zaidi ya lcd, na aliyetumia amoled huwezi mrudisha kwenye lcd .
Hujui features za magic remote na inaonyesha hujawai tumia , unhejaribu ungenielewa
Pungufu moja la hisense ni sound quality ,
Sharp hata kwenye fridge wapo njema sana.
Nina Hisense yangu 43" FULL HD mwaka mmoja umeisha i really enjoy the quality, nilisevu hela yangu nikamnunulia binti yangu pamba kali Woolworths
Ipi ni Bora Kati ya Hisense ya south Africa na China!??
Star X napenda Hisense ila haidumu Starx ninzuri sana Kwa mwonekano na ningumu
Bora umesaidia, ila wabongo ukiwatajia bei tu wanaweza ku assume unajidaiView attachment 2489230
Magic remote ni hiyo kwa wasio ijua. hii remote ikiharibika bei yake dukani haipungui 200k yaani ni sawa na TV ya Aborder ya 32" [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bado kwenye fridge lg anaongoza kwa africaSharp hata kwenye fridge wapo njema sana.
Nakupa research mzee nenda kweny vibanda umiza na sehemu za betting zile Tvs zao zinapiga kazi kama zikiwasha saa moja asubuhi mpaka saa 6 usiku then angalia zile brand ni za wapi? Then uje kukuta izo LG ,Samsung ,Sony ni nadra sio Tvs za kazikazi ni ubishoo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamn tv hapo
sas usiombe ukutane na cam za tbc
Ac BruhmKwa upande wa Tv na home theater SONY wanaongoza,
Kwa upande wa smartphone SAMSUNG wanaongoza
Ac, washing machine, fridge ni LG.
Chaguo ni lako
Wakuu kwema? Samahani kwa budget ya 400k naweza pata tv gani nzuri inch 32 ambayo ni HD?
PS niko mbeya