isaiah9
Member
- Jun 29, 2014
- 71
- 66
Mkuu budget ndo iko ivyo alaf geto lenyewe dogo kwaiyo naona kama itatosha tu sanasana kuangalia epl uefa na sometimes kucheza fifaKaka TV ya 32" ni ndogo japo sijui matumizi yako. Go for atleast 43. pia ongeza pesa kidogo kufikia 550k utapata TV nzuri ya level yako.