Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Si sawa, kwenye TV cha muhimu ni ubora wa kioo. Sio sawa kabisa na simu. Simu ina mambo mengi maCPU, maGPU huko na makolokolo kibao.

Turudi kwenye TV sio simu hizo Samsung ni nzuri lakini ni overpriced. Ukinunua Samsung ya milioni 1 unachomzidi mwenye Hisense ya laki sita ni jina la brand tu yaani laki nne yote unakuwa umelipia brand na laki sita ndio actual value ya product
Nina Hisense yangu 43" FULL HD mwaka mmoja umeisha i really enjoy the quality, nilisevu hela yangu nikamnunulia binti yangu pamba kali Woolworths
 
Kama pesa ipo TV ni Sony na LG. LG kuna Nanocell , Oled na oled Evo. bei zake ni hatari sana.

Kama hela ni ya mawazo go for Nanocell ya 2022 55" nadhani haizidi 2m

Samsung sio mbaya zipo okey hakikisha unachukua kuanzia Series 8.

Hisense ni takataka ya kichuna yenye jina kubwa.

Hizi zipo za aina mbili kuna za South afrika na China.

South afrika - boksi la kaki

China - Boksi jeupe

Go for chines.

Kwa ubora wa picha pia TCL sio wabaya sema nazo zinachakakachuliwa siku hizi
Ipi ni Bora Kati ya Hisense ya south Africa na China!??
 
Kama ulinisoma vizuri nimesema lg ni tv bora kwa tv zinazoletwa africa , nafahamu huko first world wana options za kutosha
Sawa lakini kwenye maelezo yako ulisema Hisense ni takataka [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwa maoni yangu,
Tv zenye ubora kuanzia quality ya picha, software & hardware

1. Sony
2. LG
3. Skyworth
4. Samsung (ubahatishe OG & latest series)
5. HISENSE
6. TCL
Halafu yatafata makampuni mengine ,
ya kawaida
Mkuu nataman nikupinge hiyo namba 3 but naheshimu uzoefu wako kwenye hizi bidhaa sasa hebu tujuze huo ubora wa Skyworth wana quality zipi
 
Nachokijua mimi hakuna mtu kwenye ukoo wenu anakijua ama atakuja kukijua. Ufahamu wangu na uelewa wangu juu ya hato mambo hakuna mtu kwenye ukoo wenu atakuja kua nao.

Siwezi kukusaidia kwa sababu huna akili. Nasaidia wenye akili.
Don't argue with Stupid people they will drag you down to their level and beat you with experience 🤣
 
I like sony

My entaitaiment package yote ni sony
Ps5
Sound bar(japo nmekutana na harman kardon studio8)
TV
wachache sana wanaijua hii kampun kwa ubora inaongoza
bei ndiyo chamz cha wwng kukimbilia hisense
 

Attachments

  • Picsart_23-01-20_19-31-58-665.jpg
    Picsart_23-01-20_19-31-58-665.jpg
    585.7 KB · Views: 47
Google TV ndio bora kwa sababu inaoffer features nyingi nzuri kuliko Android TV. Pia kwenye Google TV unaweza Usearch content kirahisi across the web wakati Android TV inakulimit kusearch kwenye installed apps. Kingine Google TV zipo well optimized na mara nyingi ni cheaper than Android TV
Mkuu Chief-Mkwawa Ufafanuz kidogo hapa. Ni ipi nzuri kati ya Google Tv vs Android Tv based on their x-sticks
 
Back
Top Bottom