Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Kwa kujazia tu, TCL ni Hitachi hao.
 
Mbona Hisense wengi wameisifu wewe umeitowa maana kabisa?
Wabongo si unawafahamu kwa ubahiri. Hata kwenye simu wanunuzi wengi ni wa Tecno na Infinix sababu ya kukwepa brand za standards za juu. So jamaa yupo sahihi kabisa.
 
Hisense baada ya matumizi say ya kuanzia miaka miwili huwa zinatabia ya kufubaa kioo. Yaani kioo kinapoteza mng'ao wake na kutoa picha ya kawaida sasa kwa tunaothamini ubora huwa tunakosa uzingizi kabisa kwenye hilo swala.
Hisense zote?
 
Huyu naye anakuja kuniambia ushuzi gani tena [emoji38][emoji38][/



Mambo ya kitaalamu yanataka AKILI, usiwe unaropoka tu juu ya brand kwasababu tu unapenda aina flani. Mambo ya kitaalamu yanatumia common sense unapotoa maoni sio mapokeo.
 
Naona wewe ni mdau wa Hisense kindaki ndaki,Kiasi kwamba unaona Lg, Sony, Samsung,wote vibua tu..acha nikuache na msimamo wako mzee Wa Hisense [emoji1]

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Mkuu usishindanishe brands kuwa specific na model Hisense U8H toleo la 2022 ina tuzo ya best budget tv marekan..bongo yupo mdogo wake U7H na bei yake imechangamka.Inch 55 niliipata kwa 1.6mil last year July .U8H sijafanikiwa kuiona hapa Bongo
 
Hisense baada ya matumizi say ya kuanzia miaka miwili huwa zinatabia ya kufubaa kioo. Yaani kioo kinapoteza mng'ao wake na kutoa picha ya kawaida sasa kwa tunaothamini ubora huwa tunakosa uzingizi kabisa kwenye hilo swala.
Yes kwasababu reliability hakuna

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
UKitegemea maoni kutoka mitandao vague kama hii kwenye kununua electronocs utaingia chaka sana,
Lg anauzia features , sio jina
 
UKitegemea maoni kutoka mitandao vague kama hii kwenye kununua electronocs utaingia chaka sana,
Lg anauzia features , sio jina
Nimeenda showroom nimejionea mwenyewe. Nanocell bado sana, blooming kibao, rangi nyeusi siyo nyeusi! Sasa kwa sababu siwezi kukuwekea picha ya nilichokiona nimekupa at least link ujionee. Nishanunua hisense U7H Uled Qled, ina HDMI 2.1 (120hz),HDMI eARC,freesync Premium, Local dimming, Dolby Atmos na Dolby Vision na wala sijutii. Sasa hizo features za LG unazoongelea sijui ni zipi.
TV nzuri za LG ni OLED peke yake, huku kwingine hamna kitu.
 
Upo sahihi mkuu kwa Nano kutokua na Deep black na feature nyengine ulizotaja ila ni by design, TV zote zenye VA panel nyeusi inakua kama kijivu, unaweza i calibrate ila huwezi kamwe kupata weusi wa Oled ama Micro led etc.

Lakini ina Advantage zake kama vile input lag, kama unanunua TV kucheza game ama kuangalia mpira na kitu chochote ambacho kinataka refresh rate kubwa utahitaji Va panel kwa budget ndogo ama Oled kama mfuko unaruhusu. Ips na Tech nyengine ni nzuri kwa macho ila hazifikii VA, ndio maana unaona hadi leo Gaming monitor zinazingua quality.

 
Umeupiga mwingi.
 
Naona wewe ni mdau wa Hisense kindaki ndaki,Kiasi kwamba unaona Lg, Sony, Samsung,wote vibua tu..acha nikuache na msimamo wako mzee Wa Hisense [emoji1]

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
yote ya yote mchina mwenye mazingaombwe ni starx tu upande wa picha sio, na haijulikani specifications za TVs zake ni zipi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kombe la dunia lile limeniletea balaa siku narudi home nakuta TV inch 55 Evvoli nikasema eeennhhh ila nzuri.
 

lakin udumuj wa samsung ni tofaut na hisense imagine nimenunua hisense 4k 43” ndan ya mwaka na nusu ishaanza matatizo nikaisukum nimechukua samsung ya 2022 55” 4k bei 2M

bora ghali kinachodumu
 
Brand comes first

Brand matters

Tatizo tunatumia umasikini wetu kudowngrade hizo brand kubwa..kumbuka hazikufika hapo bahati mbaya

Tukubali tu…SONY,LG,SAMSUNG is the best

Quality,technology and durability and value for money

tafta soda apo unywe ntalipia
 
Hii TV niliyonayo ni Samsung HD inch 32, nilinunua laki saba wakati ndio zinatoka, imeshawahi kupigwa chini kwenye domestic violence lakini iko vilevile na Ina miaka zaidi ya 10, je Samsung bado watakuwa na bidhaa imara kiasi hiki kwa miaka hii?
Hizo zilikiwa zinatoka Korea moja kwa moja,siku hizi hazipo zipo zinazotengenezwa under licence UE,Egypt na S.Africa mwenywe nazitafuta za from Korea direct.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…