Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Sijui sasa hivi mkuu, ila wakati fulani ilikuwa ku upgrade ni bure, ngoja wazoefu wa Dstv watakuja kutuambia.How? Nibadilishe decoder?
Now nimecheki site yao ni 330,000 explora Decoder.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui sasa hivi mkuu, ila wakati fulani ilikuwa ku upgrade ni bure, ngoja wazoefu wa Dstv watakuja kutuambia.How? Nibadilishe decoder?
Nimecheki mwenyewe site ya TCL
Sawa lakini tofauti ipo ingawa sio kubwaNimecheki mwenyewe site ya TCL
"Google TV has been quietly developing over the last couple of years. It was officially announced this year, however, that many Android TV sets will be getting an upgrade to this new platform.
In reality, Google TV is a new and upgraded interface that sits on top of the Android platform. Android will maintain its role as an effective operating system whilst Google TV becomes the front-facing element for your TV"
Hata wenyewe TCl wanaongea same issue kwamba ni interface, Android ni ile ile.
Hii ni Ya zamani mkuu, Enzi hizo Chromecast haitumii Android, wameshahama mda sana kuja Android.Sawa lakini tofauti ipo ingawa sio kubwaView attachment 2501135View attachment 2501136View attachment 2501137
Sawa basi ndio maana nikijaribu kutumia hiyo link niliyoiweka inaniletea hiviHii ni Ya zamani mkuu, Enzi hizo Chromecast haitumii Android, wameshahama mda sana kuja Android.
Na pia Chromecast ilikuwa sio nzuri kama ilivyosifiwa kwenye hii article, hasa vile ulikuwa unapata Fire stick ama Onn devices kwa $15 with better specs.
Chromecast za sasa zinatumia Android same kwa os za tv ambazo zimeandikwa Google TV
Ni TCL ya India hio page, halafu kaandika 2022.Sawa basi ndio maana nikijaribu kutumia hiyo link niliyoiweka inaniletea hiviView attachment 2501146
www.tcl.com
Mzee unachekesha sana,zile bei kweny LG au Samsung hazijawekwa kwa bahati mbaya,,alafu utafananisha Panel ya Lg na hisence? Kweny tv tunaangalia vitu vingi vya msingi kuliko unavyo dhani ww,vitu kama viewing angle, picture engine, display technology, black level, contrast level, brightness,mambo kama HDR , refresh rate, hizi TV za bei rahis huwezi pata haya mambo kirahis,hta hyo hisence ikishakua imekamilika kila idara hauwez kuta iko cheap,yani ufananishe panel za OLED na hizo brands za kariakoo? Au Nanocel za Lg utaweka na hisence gani? [emoji23] Vipi Quantum ya Samsung utataka iwe sawa na Hizo cheapest brands?Si sawa, kwenye TV cha muhimu ni ubora wa kioo. Sio sawa kabisa na simu. Simu ina mambo mengi maCPU, maGPU huko na makolokolo kibao.
Turudi kwenye TV sio simu hizo Samsung ni nzuri lakini ni overpriced. Ukinunua Samsung ya milioni 1 unachomzidi mwenye Hisense ya laki sita ni jina la brand tu yaani laki nne yote unakuwa umelipia brand na laki sita ndio actual value ya product
Taratibu mzee budget ndo znatupeleka huko mkuu ndio maana ata kwenye simu kuna tunaoishia kwenye midrange tu flagship zinakua zamotoo.Mzee unachekesha sana,zile bei kweny LG au Samsung hazijawekwa kwa bahati mbaya,,alafu utafananisha Panel ya Lg na hisence? Kweny tv tunaangalia vitu vingi vya msingi kuliko unavyo dhani ww,vitu kama viewing angle, picture engine, display technology, black level, contrast level, brightness,mambo kama HDR , refresh rate, hizi TV za bei rahis huwezi pata haya mambo kirahis,hta hyo hisence ikishakua imekamilika kila idara hauwez kuta iko cheap,yani ufananishe panel za OLED na hizo brands za kariakoo? Au Nanocel za Lg utaweka na hisence gani? [emoji23] Vipi Quantum ya Samsung utataka iwe sawa na Hizo cheapest brands?
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Sasa mtu anasema LG, Samsung ni overpriced tu,badala aseme kma huna hela Bora hisence yeye anakazia overpriced [emoji1]kwamba hakuna cha ziadaTaratibu mzee budget ndo znatupeleka huko mkuu ndio maana ata kwenye simu kuna tunaoishia kwenye midrange tu flagship zinakua zamotoo.
Ungeifuatilia vizuri hii thread usingekuja kunieleza haya mambo sasahivi[emoji2960][emoji2960]Mzee unachekesha sana,zile bei kweny LG au Samsung hazijawekwa kwa bahati mbaya,,alafu utafananisha Panel ya Lg na hisence? Kweny tv tunaangalia vitu vingi vya msingi kuliko unavyo dhani ww,vitu kama viewing angle, picture engine, display technology, black level, contrast level, brightness,mambo kama HDR , refresh rate, hizi TV za bei rahis huwezi pata haya mambo kirahis,hta hyo hisence ikishakua imekamilika kila idara hauwez kuta iko cheap,yani ufananishe panel za OLED na hizo brands za kariakoo? Au Nanocel za Lg utaweka na hisence gani? [emoji23] Vipi Quantum ya Samsung utataka iwe sawa na Hizo cheapest brands?
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Lugha yako yakubeza brands kubwa ndio imefanya nikujibu hivyo,hukuonyesha chembe ya kutaka kujifunza ,mimi nawajibu watu vizuri humu jukwaani, anyways nafurahi kuona sasa umeelewa unyama wa hizi brand kubwa.., enjoy [emoji1]Ungeifuatilia vizuri hii thread usingekuja kunieleza haya mambo sasahivi[emoji2960][emoji2960]
Anyway, nilishaelewa hilo suala toka muda sana kupitia posts za watu za kitambo tu kwenye hii thread, tena walinielewesha kwa lugha ya kistaarabu kuliko uliyoitumia wewe na niliwaelewa vizuri sana.
Sasahivi nimehama huko naendelea kujifunza mambo mengine zaidi kwenye TV kupitia hiihii thread
Kama ulikuwa unataka ubishi basi pole maana mimi sina tabia ya kukaza fuvu kwenye mambo nisiyoyajua, nilishaeleweshwa, nikaelewa na nikakubali.
Acha niendelee kusoma posts za watu wengine zenye mambo mapya, ya maana na ambayo siyajui. Huko nilishatoka kitambo[emoji38][emoji38]
Nanocell ni uchafu mwingine huu! Nenda showroom uziangalie contrast yao na blooming ilivyo mbaya! Hapa LG wanauzia jina tu. Hisense pia wanatumia panel zenye Quantum dot na bei zao ukilinganisha na samsung qled ni tofauti hata ya laki 5. Hizi brand kubwa kwa % kubwa ni overpriced hilo wala usibishe. Ukiacha LG oled hizi tv zao nyingine ni za kawaida sanaMzee unachekesha sana,zile bei kweny LG au Samsung hazijawekwa kwa bahati mbaya,,alafu utafananisha Panel ya Lg na hisence? Kweny tv tunaangalia vitu vingi vya msingi kuliko unavyo dhani ww,vitu kama viewing angle, picture engine, display technology, black level, contrast level, brightness,mambo kama HDR , refresh rate, hizi TV za bei rahis huwezi pata haya mambo kirahis,hta hyo hisence ikishakua imekamilika kila idara hauwez kuta iko cheap,yani ufananishe panel za OLED na hizo brands za kariakoo? Au Nanocel za Lg utaweka na hisence gani? [emoji23] Vipi Quantum ya Samsung utataka iwe sawa na Hizo cheapest brands?
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hapa kuna nanocel inchez 55 huwez fananisha na hizo hisence,Nimesema hizo bei hazipo kwa bahati mbaya,hizo ni budget TV tu dont expect more mkuu,mdau hapo juu alitaka sema hakuna cha ziada zaidi ya hype tu kitu ambacho sio cha kweli.Nanocell ni uchafu mwingine huu! Nenda showroom uziangalie contrast yao na blooming ilivyo mbaya! Hapa LG wanauzia jina tu. Hisense pia wanatumia panel zenye Quantum dot na bei zao ukilinganisha na samsung qled ni tofauti hata ya laki 5. Hizi brand kubwa kwa % kubwa ni overpriced hilo wala usibishe. Ukiacha LG oled hizi tv zao nyingine ni za kawaida sana