Tv nzuri, ina decode hadi Av1 hivyo haitakula sana MB kama TV za kawaida na unaweza angalia Full HD youtube 1080p na 4mbps ya TTCL, ina standard nyingi kama Hdr10 na HLG,
Issue kubwa inatumia Panel ya VA, ambazo quality yake si nzuri kama IPS, hasa unapoiangalia kwa pembeni, hivyo angalia mwenyewe kama unaiweka sebule kubwa ambayo ina makochi pembeni vyema utafute yenye ips na kama unatumia tu Gheto na unaangalia straight kwa mbele, ni tv nzuri ya kisasa mkuu.
Pia Hdmi yake ni 2.0/2.1 incase kama una vifaa vya kisasa vinavyotoa resolution kubwa kama Computer.