Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Kwa kujazia tu, TCL ni Hitachi hao.Kama pesa ipo TV ni Sony na LG. LG kuna Nanocell , Oled na oled Evo. bei zake ni hatari sana.
Kama hela ni ya mawazo go for Nanocell ya 2022 55" nadhani haizidi 2m
Samsung sio mbaya zipo okey hakikisha unachukua kuanzia Series 8.
Hisense ni takataka ya kichuna yenye jina kubwa.
Hizi zipo za aina mbili kuna za South afrika na China.
South afrika - boksi la kaki
China - Boksi jeupe
Go for chines.
Kwa ubora wa picha pia TCL sio wabaya sema nazo zinachakakachuliwa siku hizi