Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Umezingua, kama humpendi ungeamsha kimya kimya. Umetuma msg ndefu ili aumie kama ambavyo unaumia. Na Cha ajabu, akiipotezea, bado ni wewe ndio utajisikia vibaya.

Man up broh.
 
Hawa ndio waalimu wetu 😂😂😂😂
 
Hii inaitwa 'sizitaki mbichi hizi'.

Mwisho wa siku mshindi ni yeye, kama alikula vyako na wewe hujamla in every sense wewe ndio umepigwa.

Halafu ukiona mwanamke ana drama nyingi ujue hakupendi pia. Haw dada zetu wakipenda huwa wanakuwa watiifu mno.
 
Nyie ndugu yenu asije akajinyonga huku njooni mumfariji,maana hazitaki mbichi zile😁😁😁 Depal Missy Gf
Mtoa mada ana hasira za kukosa 😂😂anatafuta pa kupoozea machungu huyo…
Na atachelewa sana kumsahau huyo binti.

Malegend uwa wana move on kimya kimya, siku ukijichanganya kurudi unakutana na block 🧱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…