Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Kuna Jamaa yupo igoma, anaitwa Paschal aisee ana vyuma ni 🔥🔥.
👉Zisizotafasiriwa na zilizotafasiliwa
Mdogo angu..... childhood memories nimekaa sana hapo kijereshi.....
Kuna magari yaliitwa..
Enzi izo chai maharage na chai mboga....😊😊🤓🤓

Kitambo sana aisee sijakanyaga ardhi ya mwanza....Japo Mimi sio Mzawa wa MZa...
I wish Mwaka huu kabla hauja isha.. inshallah....nikate ticket ya ndege Go & Return japo wiki Moja nije huko kusalimia Nyumbani......
Mara nyingi nimekua nawaleta wazazi huku nilipo.....
 
I mean no malice to nobody, vipi umesha acha kabisa kupiga mitungi😀😁
Haha kuacha kabisa bandugu dah, ika najicontrol now nikiamua kunywa nakunywa kiasi nikiamua kutulia natulia. Kuacha kabisa si mchezo mzee Bab na maisha haya ya stresses😆😆
 
Haha kuacha kabisa bandugu dah, ika najicontrol now nikiamua kunywa nakunywa kiasi nikiamua kutulia natulia. Kuacha kabisa si mchezo mzee Bab na maisha haya ya stresses😆😆
Basi ni vyema mkuu, Kama umeweza kujicontrol kimwili na kiroho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…