Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Saddam alinambia kama hujawai kutumia kilevi chochote haujawai kuishi.....

Ni rafik angu sana na alikua ana smoke weed sikuwai thubutu.....

Tangia nikiwa mtoto nimepambana sana nisije kua mtu wa ajab ajab......

Nakushaur jarib kunywa Hennessy, konyagi, K-vant, Coker, smart gin, bongo don... kunywa kidogo tu tena Kwa kiasi tena Kwa ku mix na red bull...
Kunywa jion tena baada ya kazi....usiwe mlevi...
Hivi vitu vinatakatisha sana akili...

😂😂😂😂 Just joking 🤣🤣🤣
 
Tofauti tangu mimi na wewe ni hyo ya kwazna kupenda kula ila uvo vingine vote ni mimi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…