Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Hatari yake ni nini? Marley aliimba ' kitu kimoja kizuri kuhusu muziki ni kuwa, ukikupiga husikii maumivu'
Hatari ni neno la kisanii linatumika kusifia, sikumaanisha hatari kama hatari yenyewe, sijui niandike vip ili ikae sawa
 
Ndio lakini sikosi chenji za kulipia umeme na bill za maji kwahio hizoo ndio zinatufanya tuna vimba mjini soon naajili bodigadi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nataka nikiingia wavuvi kemp wawe wanaenda kwaza kuangalia usalama
Nipe kazi ya kuwa bodyguard wako
 
Naweza kusema pombe ndo starehe yangu maana hata nisipokua nadooh naweza ipata.

Hata nikiwa na 5k, sioni starehe ya chap zaidi ya gambe.
Movie napenda saaana ila gharama yake na haidumu muda mrefu, gaming ni nzuri na nafanya sometimea ila inakula muda na kuweka upweke.

Papuchi siwezi kuiweka hapa kama mdau hapo juu alivosema hiyo ni basic need, ukiona umeanza kuiweka kama starehe basi ujana wako una tabu sana sana.
 
Back
Top Bottom