Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Starehe ya kufumaniwa raha sana zile mbio zake tu ndyo napenda ila siku moja nilikutana na fumaniz jamaa ana Speed sitasahau ila ndyo starehe yangu japo now nimepunguza ila mwaka huu mwezi wa 7 naacha kbsa
 
Tafuta 3000 nenda kwa wenye library, waambie we ni mwenzao hivyo unataka mzigo.
Mkuu huku niliko library ni zile za mlvie za kutafsiliwa na wanaoziendesha ni machalii wadogo kichizi ambao movie nazopenda mimi hawana na watanishangaa.

Wao ni series za kikorea tena zilizotafsiliwa.
Labda niende town.
 
Back
Top Bottom