Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #121
Ungekuwa mwanza, ningekuelekeza kwa jamaa flani hiviMkuu huku niliko library ni zile za mlvie za kutafsiliwa na wanaoziendesha ni machalii wadogo kichizi ambao movie nazopenda mimi hawana na watanishangaa.
Wao ni series za kikorea tena zilizotafsiliwa.
Labda niende town.