Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Naweza kusema pombe ndo starehe yangu maana hata nisipokua nadooh naweza ipata.

Hata nikiwa na 5k, sioni starehe ya chap zaidi ya gambe.
Movie napenda saaana ila gharama yake na haidumu muda mrefu, gaming ni nzuri na nafanya sometimea ila inakula muda na kuweka upweke.

Papuchi siwezi kuiweka hapa kama mdau hapo juu alivosema hiyo ni basic need, ukiona umeanza kuiweka kama starehe basi ujana wako una tabu sana sana.
Movies zipo za kutosha, sema nikutajie mkuu
 
Wanipige waniue ila Safari Bombadia chupa 2 kila baada ya siku moja sitaacha kamwe.
images%20-%202023-01-21T190718.129.jpg
 
Back
Top Bottom