Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Saddam alinambia kama hujawai kutumia kilevi chochote haujawai kuishi.....

Ni rafik angu sana na alikua ana smoke weed sikuwai thubutu.....

Tangia nikiwa mtoto nimepambana sana nisije kua mtu wa ajab ajab......

Nakushaur jarib kunywa Hennessy, konyagi, K-vant, Coker, smart gin, bongo don... kunywa kidogo tu tena Kwa kiasi tena Kwa ku mix na red bull...
Kunywa jion tena baada ya kazi....usiwe mlevi...
Hivi vitu vinatakatisha sana akili...

😂😂😂😂 Just joking 🤣🤣🤣
My father was a drinking lengend(rip) niliona madhara yake, so sitaki kuwa huko pia.
 
Salaam wakuu, unajua katika maisha haya. Kuna baadhi yetu tumekuwa tukifanya baadhi ya vitu ambapo vimekuwa vikitufurahisha.
kiasi kwamba imekuwa ngumu kuacha, hata Kama tushauriwe kwa ukubwa gani, au na mtu yoyote.

kwa upande wangu Kuna vitu vinne, naona kabisa kuacha ni mpaka niingie kaburuni.

[emoji117]Misosi- najua mtasema kila mtu anakula, ila kwa upande wangu bhana naona imezidi.
Maana nimeshaifanya kesi, kila nikikutana nacho ni mpaka mmoja wetu anyooshe mikono juu (hapa adui yangu nimemzidi aisee) napakia kiukweli, iwe ugali,wali,ndizi na hata iwe kachumbariView attachment 2490252
View attachment 2490253

Kucheza magame, wakati nakua hili swala lilinafanya nitandikwe Sana na wazazi.
Kwani ilikua huniambii kitu linapokuja swala la kucheza game-nimetumia gameboy, PlayStation.
Mpaka leo imepelekea kuwa Kama moja ya mila na tamaduni zangu, siwezi kukaa bila kucheza magame iwe kwenye pc, PlayStation na hata kwenye simu.
Nimecheza game Kama [emoji117] asphalt series zote.
[emoji117]Pes hadi ya mwaka huu.
[emoji117] Brother in arms 2&3
[emoji117]Call of duty.
[emoji117]Motorcombat iwe la porin au jeshi.
[emoji117]Fifa

Kusoma vitabu, huu ni mmoja ya utaratibu wangu unaonivutia sana.
I didn't have a great childhood life. hivyo niliamua kufunga ndoa na vitabu, nimesoma vingi Sana,ambavyo vilinisaidia kujifunza na kuelimika Sana.
Baadhi ya vitabu nilivyosoma katika Safari yangu hii[emoji117]magic of thinking big
[emoji117]The 5am club
[emoji117]The godfather
[emoji117] Retire young, retire rich.
[emoji117]The billionaire of tommorow.
[emoji117]What the future.
[emoji117]Alex rider
[emoji117] Intelligent investor.
[emoji117]Elon musk
[emoji117] Business in Africa.
Hiyo ni list ya baadhi tu, so unaeza tafuta ukajifunza na kufurahia pia.

Kutazama movie,series na documentary, Mimi ni jobless wa kimataifa.
hii imekuwa fursa kubwa kwangu, kwani imenipa nafasi ya kufatilia series na movie nyingi sana.
ziwe crime,horror,drama, investigation, na hata animation. List ya series nilizotazama[emoji117]money haseist
[emoji117]24 hours.
[emoji117]Prison break
[emoji117] Vikings
[emoji117]Dracula
[emoji117]Jumong
[emoji117]Iris
[emoji117] Harry Potter
[emoji117]Lord of the rings.(smigo)

Acha niendelee kufurahia uwepo wangu duniani.

wametokea washauri wengi "eti punguza", ninachowajibu ni kwamba wao ni wageni kwenye maisha yangu hivyo wanaeza kwenda..

Ni vitu gani imekuwa ngumu kwako kutengana navyo??
Mbali ya bingo ninavyovipenda, Huwa napenda zaidi kutembelea maeneo mapya yaani 'adventure". Nikiwa DSM napenda kuzunguka na gari yangu kutembelea maeneo ambayo sijawahi fika. Na baada ya kuzunguka na gari huamua kuchagua sehemu moja nzuri kupata msosi na kinywaji. Lakini zaidi napenda kusafiri kwenda mikoani (Kwa basi la abiria) ambako sijawahi fika na kulandalanda. Napenda kuona vitu na watu wapya.
Naweza nikaenda mkoa na kukaa siku 2 au 3 Kwa utalii binafsi wa ndani. Importantly Huwa nafurahia Ile freedom ya kufanya nitakacho ninapokuwa away from home
 
Kutoa out na kula mziki wavuvi kila weekend siwezi acha wavuvi kemp for life
emoji9.png
emoji9.png
Hongera, we sii jobless mwenzagu.
 
Na wasi wasi na hizi starehe zako.
Umeziandika kiujaunja mno.🤣🤣

Any way mawazo ya mtu hayapingwi.
Cool Pal'✌️
 
Back
Top Bottom